Uhuru wa Tanganyika chimbuko lake ni waislamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhuru wa Tanganyika chimbuko lake ni waislamu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mungi, Jul 8, 2012.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Nipo hapa Msikiti wa Bondeni nasikiliza mawaidha ya kiislamu. Imamu analalamika kuwa waislamu wametengwa sana kielimu, wakati wao ndiyo chanzo cha kupatikana na uhuru wa Tanganyika, anasema kuwa chama cha kwanza cha Tanganyika cha TAA kiliundwa na wailamu.
  Akina Hussein Makunganya walipigana kufa na kupona kuhakikisha wanalinda uislamu dhidi ya ukristo wa ujerumani.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  labda kweli....kwa hiyo walikuwa wanatakaje.....?
   
 3. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,671
  Trophy Points: 280
  Nina Mashaka na Elimu yake.
   
 4. Y

  Yetuwote Senior Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo?
   
 5. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  madrasat!
  ilmu ahera
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Anatolea mfano matokeo ya mwaka huu kuwa ni waislamu saba tu waliofaulu kwa alama D kati ya wote waliofanya mtihani, wengine wote wamefeli. Anasema tatizo ni mfumo ukristo katoliki upo kazini. Lakini amekiri kuwa wenzetu wakristo wanasoma kwa bidii sana ili wafaulu.
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Anasema wailamu tuko wengi Tanzania, lakini takwimu iliyotolewa na majuzi inaonyesha waislamu ni 32%. Anasema tunahaki ya kuwa wengi serikalini kwasababu tupo wengi
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  leo kanisani tumechangishana kwajili ya shughuli za maendeleo na kutiana moyo tufanye kazi kwa bidii hatukua na muda wa kujadili mambo ambayo hayajeNgi
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  leo kanisani tumechangishana kwajili ya shughuli za maendeleo na kutiana moyo tufanye kazi kwa bidii hatukua na muda wa kujadili mambo ambayo hayajeNgi; kama kweli wako wengi si waanzishe serikali yao; Suala ni quality sio quantity
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Anasema kuwa waislamu hawatashiriki kwenye sensa, mpaka kipengele cha dini kiingizwe.
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Nina hasira na hawa jamaa wanaotaka kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya kidini.
   
 12. M

  Mkirindi JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 3,333
  Likes Received: 949
  Trophy Points: 280
  Hebu Angalieni Nyote Muulioshiriki Topic Hii, Nyote muko against Islam, Ninawafahamisha ya kuwa Wakristo, Waislamu, Hindus,Pagans, ni Watanzania na wana Haki na Nchii hii. Wacheni uzembe wa kuleta udini. Msituahribie nchi yetu.

  Msisahau inteligent preachers katika kila Dini na Medhehebu wanatumia Akili nyingi Kutawal Waumini wao, na kuwatumia kwenye maslahi yao. Miaka yote ya nyuma hakukua na utata wakidini. Isipokuwa leo tunaanza< tusipoangalia tutakuwa kama wazembe waki Nigeria, Kuua Ndogo zako kwa sababu ya Dini iliyokujia kutoka kwa Wayahudi na WaArabu.
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,943
  Likes Received: 1,268
  Trophy Points: 280
  hata kama, ili iweje?
   
 14. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
 15. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wakristo walikuwa wamemkumbatia mkoloni, ala...niwe nyerere kwa kutotenda haki ktk utawala wake.
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huo ni msikiti au ni "House Of Ignorances"!
   
 17. Alwayz on top

  Alwayz on top JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 558
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  hebu taja waanzilish 14 wa taa then utapata jibu..
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu ushauri wangu ni waislamu wajikite kusoma kwa bidii, wapunguze kutumia muda mwingi kusoma madrasa na kuoa wanawake wengi.
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hilo la mwisho ndiyo jibu.
   
 20. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  sijawahi kwenda kanisani nikasikia padre au mchungaji akizungumzia uislam kwa context kama hiyo, wasilalamike, wanaji lostisha wenyewe kwa kutangaza dini za wenzao badala ya hiyo ya kwao.
   
Loading...