iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Nimesikia hotuba ya mkuu kwamba kuna profesa aliyekuwa ameajiriwa UDOM kwamba ametimuliwa kwa "kumtukana" mkuu na kwamba alikuwa "analeta siasa za vyama chuoni"
Binafsi,ninachofahamu vyuo ni sehemu ya mijadala ya Sera za nchi na za kimataifa.
Pia,sijajua profesa huyo aliongea nini,ila kwa mawazo yangu,tafsiri ya kutukanwa ni "subjective", inatokana na tafsiri ya mtu mwenyewe, pengine alikuwa anakosolewa kwa nia njema,ila wanafunzi au wahadhiri wenzake " wakamchoma" kwa wakubwa
Pia tunakumbuka profesa kitila mkumbo naye alikuwa mtu wa "vyama" lakini hajafukuzwa na kabaki na cheo chake na kupanda zaidi
Sasa nadhani ile mijadala ya kigoda cha Mwalimu iko shakani,pamoja na mijadala mingine.
Wahadhiri nadhani wanatakiwa kujihoji wanasimama wapi ili wahesabiwe