Uhuru wa maoni kwa kiasi ni faida kubwa kwa utawala. "Safery Valve"

Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
9,172
7,428
1576262519947.png
Uhuru wa maoni "Costructive" na wakati mwingine hata kuwaachia watu nafasi wapige kelele kidogo kwa ajili ya 'pressure', ni jambo muhimu kwa utawala wowote.

Mara nyingi tumekuwa tunaandika maelezo mengi, leo hatutafanya hivyo. Tutauliza swali moja tu litakalofanya mada nzima kueleweka bila tabu. Ushawahi kujiuliza kwa nini 'Pressure cooker' ina 'Safety valve' ya kutoa gesi na wakati kufunikwa kwa jiko ndio kuiva kwa chakula?
 
Kumbe nyie ni pressure cooker ,bora rais awapuuzie

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu siku moja aliandika hapa kuwa "Kuwa mjinga kuna raha sana", hivi ilikuwa ni wewe?

Wakati fulani ni bora kuacha ushabiki kwenye vitu vya msingi. Tatizo ni kwamba kwa kuwa pia tunatofautiana uelewa, mtu anaweza kuona kitu ni cha msingi na mwingine asione kwamba ni cha msingi kwa kuwa hajaelewa.
 
Back
Top Bottom