Uhuru wa habari kwenye rasimu ibara ya 30 ibara ndogo ya 4 haitaminya uhuru wa habari?

critical

Member
Apr 4, 2012
17
11
Nimepitia rasimu ya katiba ibara ya 30 ibara ndogo ya nne naona kama inatoa mwanya kwa kuingiza sheria kandamizi dhidi ya habari kama zinavyolalamikiwa sasa. Wajuzi wa sheria naomba mnipe ufafanuzi kidogo kwani inasemekana kwa sheria za sasa vyombo vya habari vinavyanya kazi kwa hisani hisani tu. Kwa ibara hii itatutoa kwenye hili la vyombo vya habari kufanya kazi kwa hisani hisani tu? Au ibara hii ingefafanuliwa zaidi na kuonyesha uhuru zaidi?
 
Back
Top Bottom