Uhuru wa Bunge: Swali ninalojiuliza

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,478
2,000
Hivi siku ikitokea mheshimiwa akaingia na kifaa cha moto au silaha ya aina yoyote na akaitumia kwa namna yoyote ile mule ndani,ataachwa bila kuchukuliwa hatua kwasababu tu amefanya kitendo hicho mule ndani?

Au ikitokea siku wameshikana mashati na mmoja akampiga mwenzake sehemu mbaya na yakatokea ya kutokea,mtu huyu ataachwa tu kwasababu ametenda kitendo hicho akiwa mule ndani?

Sijui labda huwa wanakaguliwa kabla ya kuingia mule ndani ila nasema huenda iko siku tutakuja kuona umuhimu wa anachotaka kukifanya Lissu.

Tena natahadharisha tu,ikitoka hukumu ya kuhalalisha huo uhuru,hukumu hiyo inaweza kuja kutumika vibaya huko mbeleni maana itakuwa si tu imetoa huo uhuru,bali itahalalisha kila kitu unless hukumu hiyo iandikwe kwa tahadhari kubwa.
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,820

Viroba na bange ni vibaya sana
Upo jirani tu hapo mipango,umeshindwa kwenda kuangalia utaratibu wa usalama?
Na kwa sasa tunaanda sheria ya kupimwa akili na na kama mbunge anatumia madawa ya kulevya,hizo ndoto zako zitakurudia mwenyewe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom