UHURU UKO WAPI KATIKA CHAGUZI ZA VYAMA KIPINDI CHA UCHAGUZI MKUU

raisi2020

Member
Mar 4, 2016
82
125
Najua kipindi kama cha chaguzi mbali mbali katika vyama ili kupata wawakilishi katika kugombea uraisi kila chama kina taratibu yake,ila tume ya uchaguzi inasubiri majina kutoka katika kila chama ili iwatangazie umma kuwa huyu ndio mgombea wa chama flan kwa post flan,tumeona hapa kuna uhuru kwa vyama vya siasa.
*iweje kama kuna uhuru huu,kwa kila chama na chama kinafanya uchaguzi ndani ya chama nasisitiza ndani ya chama,na kuwapa uhuru wanachama wake kuchagua mwakilishi wanayoona wao wanamfaa wamchague na kuwa huru katika kuchagua na kuonesha mapenzi kwa mgombea,hapa ni ruhusa kuonesha mapenzi kwa namna yoyote ya kumtetea mgombea wake,sasa iweje kama nilionesha mapenzi kwa mgombea wangu katika uchaguzi wetu ndani ya chama leo uje unifukuze kwa kuwa sikukupenda wewe au sikumpenda mtu flan,basi naomba vyama vioneshe mapema nani apendwe mapema bila kuathiri watu wengine hapo mbeleni.
*Na iweje kuonesha mapenzi kwa mgombea wangu ambapo chama kilinipa uhuru nimpende ninayemtaka ndani ya chama na si nje ya chama,leo ahame chama yule mgombea niponzeke mimi wakati kipindi namuonesha mapenzi na kumtetea nilikuwa huru kutokana na kanuni za chama kabla ya mtu huyu kuhama chama,mbona mimi sikuhama!!!!!?????mambo haya yametokea katika nchi flan................................................................................uzi unaendelea
 

Lupyeee

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
2,684
2,000
Hoji ukomo wa uenyekiti wa Mbowe, hiyo siku utajua Ngada si chai
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom