Uhuru na Raila kuongozana China kwa maslahi ya nchi, hivi Tz Mbowe na Magufuli wanaweza?

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,403
Demokrasia ya Kenya level yake sio ya kawaida, rais wa nchi na kiongozi wa upinzani kusafiri pamoja kwenda Uchina ili wakafanye majadiliano ya nchi kupewa mkopo wa kukamilisha reli ya SGR.
Hapa nawaza kama hili linawezekana kwa Museveni na Besingye au Magufuli na Mbowe watoke na kusafiri pamoja kwa ajili ya maslahi pana ya nchi.

Ifike mahali tujifunze kutanguliza uzalendo......sio mkao wa kujihami kwa mashoka kila siku.
-------------------------------

African Union envoy Raila Odinga will accompany President Uhuru Kenyatta to China next week to seek funds for the extension of the Standard Gauge Railway (SGR) from Naivasha to Kisumu.

According to Mr. Odinga, they are optimistic that the Chinese Government will give Kenya Ksh.368billion loan from China to Kenyan government.

Speaking in Nyakach sub county on Saturday, the AU envoy said the funding will will also help revive the Kisumu inland port that slumped following the collapse of the railway transport.

He said the new SGR line will extend from Naivasha to Narok, Bomet, Sondu and finally Kisumu.

In addition, the completion of the SGR will have a huge impact on the economy of Kisumu and its environs, Mr. Odinga added.

He also noted that special economic zones will be established in Kisumu to make Kisumu City the hub of East Africa.

It is expected that the project will provide more employment opportunities for Kenyans who live and work in the region.
https://citizentv.co.ke/news/raila-and-uhuru-set-for-china-visit-to-seek-ksh-368b-sgr-loan-241862/
 
Bongo ni "pyu pyu pyu" mtindo mmoja kuwa wapinzani !!! Watawala washamba bwana, kazi kweli.
 
Kenya pesa mnazokusanya mnazifanyia nn?hv maana ya kua lower middle income country ni ipi?
Mnamsema JPM ambae amethubutu kuanza kipande cha 200+km kwa pesa za ndani...serikali ya ldc imeweza kutoa $1.215Bn nyie mnashindwa nn???Mkiitwa wapumbavu mnakasirika kitu gani..
 
Oyaaa kwa taarifa yako tuna reli zaidi ya 500km inatumika, hiyo ni karibu mara tatu ya kipande chenu hicho cha 200km ambacho kimewatoa jasho sijui mumefikia wapi, mling'ang'ania kutumia hela ya ndani ambazo mnaishia kunyofoa hela kutoka kwa miradi mingine hadi sekta zote zinakauka nchi vyuma vinakaza kila mtu anaishia kulia.
 
Porojo uache, mradi upi umekwama?awamu ya pili imeshaanza pesa ya mkopo tunajenga km 700km jumla kwa sasa...reli itafika mwanza kabla ya 2025 ,umbali 1219km itafika Kigali kutokea Isaka 400km na itaenda kigoma kutokea Tabora 440km infact hamtaweza huo mtandao ni mrefu sana na ukumbuke itatumia umeme pamoja na diesel...stiglers gorge inaisha tena kabla reli haijafika mwanza au zaweza fika sambamba
 
Uhuru ana ongozana na RO huku W.Ruto hajamalizana na RO na UK kuhusu hatma yake ya kugombea uraisi ndan ya jubileee kwa kitendo hiki kweli Ryto lzm alalamike ...maana Ruto na camp yake wanalalamikia huo ukaribu wa UK na RO ya kwamba unamipango ya kuharibu safari ya ndoto yake ya uraisi ndani ya jubilee

LKN ALL in ALL ni jambo zuri kujenga fikra ya kuliunganisha ilo taifa lkn Ruto asiwe sidelined na yy anaweza akq mobilize kabila lake wakawa ni anti government
 
We utabaki kuwafulia----- tu
Wenzako wanakwenda kuweka mambo yao Sawa....personal trip hyo

Ova
 
We utabaki kuwafulia----- tu
Wenzako wanakwenda kuweka mambo yao Sawa....personal trip hyo

Ova
Kweli kabisa..... Makenya majinga kweli, kazi kupiga makelele.... walio kamata uchumi + kufaidi matunda ya nchi yao ni wageni.. maghorofa mengi Nairobi yanamililiwa na wageni,

Tanzania tupo vizuri sana.
 
Back
Top Bottom