UHURU lataja majina ya Kamati ya Nishati na Madini iliyovunjwa

Hapo hakuna jipya.Unasifia kuwa limekuwa la kwanza kutaja, sasa limetaja nini hapo.Hiyo si ni list tu ya wabunge wote wanao unda kamati hiyo?Tunacho taka ni kuwataja wale tu waliokula rushwa kati ya hao hapo kwenye list.
wengi wetu hatuna experience ya kuona mtu wakati akikata roho lakini hata pale achinjwapo ng'ombe/kuku kabla ya kukata roho huwa na nguvu za ajabu. Hata yule mgonjwa aliyepooza siku nyingi wakati wa kukata roho huwezi kuamini 'nguvu' inatoka wapi.
Asante sana uhuru kwa miaka uliyokuwepo kabla ya hawa wengine wote

 
:yawn:Tatizo langu mimi ni kwamba nafikiri labda hao waloilipua hiyo kamati wanainterest za watanzania ila kwa namna ninavyoona mchezo ni ule ule wa funika kombe mwanaharamu apite.........Watu wanatafuta umaarufu,MGAO UNAPANGWA MEZANI......halafu eti wamejua leo wakati hiyo picha ni ya tokea enzi za richmond.Mchezo wanaofanya ni ule wa mwaga mboga nimwage ugali tukose wote lakini..........
 
Gazeti la uhuru hakuna kitu, tunataka majina ya waliochukua rushwa na siyo kamati.
 
Sasa nani asiye wajua wajumbe wa kamati. Huu ni utoto wa gazeti la kitoto!
 
Uhuru halina uwezo wa kumtaja fisadi yoyote wa Ccm,

Hilo gazeti hata kama lingekuwa linagawiwa bure bado watu wasingelichukua na kusoma.

Hata makada wa CCM siku hizi hawalisomi kabisa.
 
Moderators tunaomba hii thread ipelekwe kwenye trash, ni useless na ni kujaza server tu. hakuna mtu asiyejuwa majina ya wanakamati wa Nishati na Madini. hapa issue ni wala rushwa ndio majina yao yanatakiwa huu ni upuuzi.
Pls close this thread.
 
Kichwa cha habari kinasema "Wabunge Kamati ya Nishati Wakufuru"

Ndani yake Uhuru Kongwe la CCM linasema wahusika na kamati hii ni matajiri wa kufa mtu
1. Yupo anayemiliki magorofa
2. Wengine magari ya kukodi, Vituo vya Petroli
3. Wapo pia wenye Zabni za Mafuta migodini
4. Wengine wana makampuni ya tours
Wamelifungia gazeti la kweli MWANANHALISI sasa wanajifanyi hili ndo gazeti la kiuchunguzi halafu wa BOOST mauzo yao, wakati huo huo watuhumiwa hawatapata gazeti huru la kijibia mashambulizi. JF ipo.

Iwapo wameamua kuingia kwenye habari za kiuchunguzi watuwekee wazi uchunguzi VERSION yao yafuatayo:

- swala la Dr Ulimboka
- EPA
- Waliopokea mshiko wa Jairo
wengine mnaweza kujazia
 
Back
Top Bottom