Uhuru kwa palestina:

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
kuna maandamano makubwa ya vijana wa Makamo wamebeba mabango yaliyoandikwa uhuru kwa Palestina..(Ilala Boma). Nadhani ni ya kupinga vitendo vya mashariki ya kati.
 
Wamepewa kibali cha kufanya hayo maandamano ? Ivi hayo ni maandamano ya dini au siasa !!!
 
Wamepewa kibali cha kufanya hayo maandamano ? Ivi hayo ni maandamano ya dini au siasa !!!
Yatakuwa ya kidini wana escort ya polisi
Kama ukipita ubalozi wa marekani utakuka kuna mabango mengi sana yanaongelea palestina
 
kwahiyo wakiandamana bongo ndio palestina itapata uhuru??
kwanini wasiandamane waarabu wenzao majirani wao iran,jordan,syria,misri,libya,lebanon nk,.
wabongo kwa viherehere hatujambo
 
dah hapa nchini kuna vituko! sie tumekua watu wa kuwadaia wengine uhuru tangu enzi za Nyerere na hakuna tunachokipata ilhali walikuwa ni waAfrika wenzetu sembuse hao waarabu waliotutesa katika utumwa!.
 
Wanapoteza muda tu huo mgogoro miaka nenda rudi hakuna suluhu maazimio kibao ya umoja wa mataifa ya kuwapatanisha hao jamaa lakini hakuna lolote wabongo badala mkazane kupambana umasikini wa nchi yenu mmekalia kuandamana
 
Back
Top Bottom