Uhuru Kenyatta safari ndefu kurudi ikulu katika picha!

Kilicho nifurahisha siku ya kuapishwa umatiwote pale uwanjani walikuwa na bendera ya Taifa. Naamini kama ingekuwa bongo uwanja ungepambwa na bendera za chama kuliko za Taifa.

wabongo hawajui uchungu wa nchi ila wa vyama vyao, shame on bongoz
 
ni vema sana, inatia moyo na kuhamasisha, hv aliwahi kufikiri kuja kuwa president kipindi hicho amevaa kaputula pale airport ya mombasa, i dont think so!!!!!!
 
Shadow thanks sana kwa picha nimejifunza na nimehamasika vilivyo, i promissed my nafsi not to let down pindi nilipoona hizo picha!!
 
Last edited by a moderator:
younguhurukenyatta1973.jpg


President Kenyatta was at Mombasa Airport to see his wife Mama Ngina Kenyatta off to Nairobi after a short stay in Mombasa where the president was on a working tour. Also in the picture are the President's two sons Muhoho (right) and Uhuru (left) on September 7, 1974. Source: Daily Nation

Mzee JK (Jomo Kenyatta) akiwa anahutubia wananchi alisema "...munasema mimi ni Muzee, hebu muulizeni Mama Ngina ile kazi napaga yeye....", watu walivunjika mbavu mpaka basi! Kumbe ilikuwa halali aseme vile..! Hawa wa huku kwetu mikorogo na dozi za kichina hadi inaudhi!
 
Back
Top Bottom