Uhuru Kenyatta: Nategemea ushindi wangu utapingwa mahakamani tena, nitaongea na upinzani baada ya mahakama kuamua


real G

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
5,257
Likes
5,104
Points
280
Age
43
real G

real G

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2013
5,257 5,104 280
Katika Hotuba yake baada ya kuchaguliwa rais mteule Uhuru Kenyatta amesema anasheherekea ustahimilivu wa taifa la Kenya, katiba ya nchi hiyo na taasisi zake

Amesema uamuzi wa mahakama ulisema mchakato wa kupata matokeo ndio ulikuwa na kasoro ila sio idadi ya kura alizopata na ilifanya mambo kuwa magumu kwake

Amesema bunge lilipitisha muswada unaohusu uchaguzi lakini hajasaini muswada huo kwa kuwa sheria lazima kuwe na mashauriano kwanza kabla ya sheria kupitishwa.

Pia amesema kuna uwezekano mkubwa ushindi wake ukapingwa mahakamani, atafanya mazungumzo na upinzani baada ya uamuzi wa mahakama kutoka

===========================================================

Uhuru Kenyataa speech


I celebrate the resilience of our nation, of our constitution and of institutions Our Kenyan resilience will not tire, it will not give in to the politics of darkness

After Aug 8, the court never challenged my numbers, but the process

The Supreme Court directive was difficult even for me

Anything other country that would have experienced what we went through would have burst asunder
But since the law is supreme, I submitted myself to the decision
The rule of good law does not discriminate. It gives the right to vote or not to vote

Parliament sought to address election issues through a Bill that was brought to my table

Since the law should be reasoned based on principles, I have not assented to the Bill

You cannot choose to exercise a right and then abscond the consequences of that action

My victory today is part of a process likely to be subjected to the test at the courts, I'm awaiting Supreme Court process before engaging NASA in dialogue over national cohesion

Source: Citizen TV
 
P

Pendo Julliet

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2017
Messages
243
Likes
314
Points
80
P

Pendo Julliet

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2017
243 314 80
Huyu jamaa ni muungwana sana ana lugha za staha. Bulldozer na yeye ajifunze kwa Uhuru, kuvumilia upinzani !
Siyo muungwana huyo sababu wakenya wenyewe wako tayari kufa kupigania HAKI zao.

Walipigania katiba mpya nk.

Kenya wasingekuwa na ukabila naamini wangekuwa mbali sana kimaendeleo.
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
2,445
Likes
600
Points
280
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
2,445 600 280
Big up nenda jenga inchi sada
 
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
4,432
Likes
2,716
Points
280
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
4,432 2,716 280
Siyo muungwana huyo sababu wakenya wenyewe wako tayari kufa kupigania HAKI zao.

Walipigania katiba mpya nk.

Kenya wasingekuwa na ukabila naamini wangekuwa mbali sana kimaendeleo.
una zani ukabila umeisha?
 
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
3,952
Likes
3,048
Points
280
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
3,952 3,048 280
Siyo muungwana huyo sababu wakenya wenyewe wako tayari kufa kupigania HAKI zao.

Walipigania katiba mpya nk.

Kenya wasingekuwa na ukabila naamini wangekuwa mbali sana kimaendeleo.
Ni muungwana sababu ana uwezo wa kukinukisha. Majeshi yote yapo chini yake pamoja na yale ya Siri y'a usalama wa Taifa. Raila Ni mdogo sana Uhuru akiamua kumnyamazisha !
 
Sijuti

Sijuti

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
2,811
Likes
2,250
Points
280
Sijuti

Sijuti

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
2,811 2,250 280
Mzee Muraga futa tena bado hajanyooka huyu bwana.
 
P

Pendo Julliet

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2017
Messages
243
Likes
314
Points
80
P

Pendo Julliet

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2017
243 314 80
Ni muungwana sababu ana uwezo wa kukinukisha. Majeshi yote yapo chini yake pamoja na yale ya Siri y'a usalama wa Taifa. Raila Ni mdogo sana Uhuru akiamua kumnyamazisha !
Raila hayuko peke yake mtaji wake mkubwa ni watu/uma wanaomuunga mkono.

Majeshi hayawezi kushinda nguvu ya uma ukiamua kudai HAKI.
 
K

Kiyawi

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Messages
1,320
Likes
636
Points
280
K

Kiyawi

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2011
1,320 636 280
Muungwana angeangalia percent ya waliosusia uchaguzi ambayo ni more than 60
Siyo more than 60% ni vema uweke sawa. Pili marudio katika zozote wapiga kura hardly turn up labda 27% kama nchi za Ulaya. Tarehe 8/8/2017 waliopiga kura walikuwa 15.4 million na kipindi hiki wapigakura 7.7 million walipigakura na Rais Uhuru akapata over 7.3 million 98%. Marudio ya Zanzibar ilikuwa hivohivo baada ya Maalim kususua DrShein alishinda kwa 99% Sasa hapa unajifunza nini?! Kwa hiyo Uhuru ameshinda kihalali kabisa na Raila anaposema rigging imefanyika, je hakujitoa kwenye mechi? Hakuwepo ila mzee kachanganyikiwa anajihisi bado alikuwepo kama hekaya za Abunuwasi!! Pity him.!
 

Forum statistics

Threads 1,235,634
Members 474,678
Posts 29,229,274