Uhuru Kenyatta na Raila Odinga wanatufundisha nini sisi Tanzania?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Hakuna asiuejua jinsi upinzani wa kisiasa wa Kenya ulivyo kuwa wa hatari hadi kupelekea watu maelfu kupoteza maisha yao kisa siasa.

Lkn leo hii Uhuru na Raila ni watu wanao shirikiana hadi kuwafanya watu waanze kuamini kuwa uwenda Uhuru anamuandalia Raila urais hapo 2021.

Hivi sisi hapa nyumbani tunakosea wapi kuendelea kuchukiana kiasi hiki?
FB_IMG_1561923244163.jpeg
 
Hakuna asiuejua jinsi upinzani wa kisiasa wa Kenya ulivyo kuwa wa hatari hadi kupelekea watu maelfu kupoteza maisha yao kisa siasa.

Lkn leo hii Uhuru na Raila ni watu wanao shirikiana hadi kuwafanya watu waanze kuamini kuwa uwenda Uhuru anamuandalia Raila urais hapo 2021.

Hivi sisi hapa nyumbani tunakosea wapi kuendelea kuchukiana kiasi hiki? View attachment 1143283
Hata mzee Sumaye wa chadema na Dr Magufuli hawana tatizo lolote!
 
Back
Top Bottom