Uhuru Kenyatta, Muthaura, Hussein Ally ndani ya ICC WAKISHTAKIWA KWA MAUAJI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhuru Kenyatta, Muthaura, Hussein Ally ndani ya ICC WAKISHTAKIWA KWA MAUAJI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WomanOfSubstance, Apr 8, 2011.

 1. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Vigogo wa KENYA washtakiwa The Hague ICC.
  Leo ndio leo katika historia, washukiwa hawa watatu watawasili saa nane mchana leo kusomewa tuhuma.na tarehe ya kusikiliza ushahidi wa kufungua kesi ( confirmation of charges).
  bunge wa Gatundu ya Kusini,mwanaye wa kwanza Mzee Jomo Kenyatta ( R.I.P) rais wa kwanza wa Kenya) , Former IGP ambaye sasa ni Posts Master General, Major General Hussein Ally na Mkuu wa utumishi wa Umma na pia Katibu wa Baraza la Mwaziri, Balozi Francis Kireni Muthaura wamefikia Hotel ya Kur haus ( eneo la pwani ya The Hague - Uholanzi ) na watafika kujibu tuhuma mbele ya majaji watatu.

  Uhuru Kenyatta anadaiwa ku sponsor mauaji katika ghasia za baada ya uhuru.Pamoja na kujitahidi sana kutaka jina lakini liondolewe, haikufua dafu! Je huku ICC atapona?Wenzake wanatuhumiwa kutoa ushirikiano kuwezesha majuaji na vitendo vingine kama ubakaji!

  Hawa vigogo ni vigogo kweli maana licha ya nyadhifa hizo, wanashikilia pia nyadhifa nyingine nyeti: Kenyatta pia ni mwenyekiti wa kamati ya ushauri wa Usalama na pia ni mwenyekiti wa Bodi inayoshughulikia usalama wa mashahidi.Mwendesha Mashtaka wa ICC, Ocampo aliwahi kuhoji kama hawa wataendelea na hizi nyadhifa zao maana inaweza kuhujumu kesi hii ya kihistoria.

  MAKUNDI YA KIJAMII nayo hayapo nyuma. Yapo yenye ku support kuwashataki ICC na pia wapo wanaopinga kushtakiwa hawa vigogo ndani ya The Hague.


  Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Amos Wako na wanasheria kutoka Uingereza wamewasilisha ombi mahakamani ku challenge admissibility ili kesi ikasikilizwe Kenya. Kutakuwa na Status Conference ambapo mawakili wa watuhumiwa watajua undani wa tuhuma na Ocampo atatoa maelezo hayo kiundani zaidi.Mawakili nao watajua ushahidi utakaotolewa ili wajiandae kuwatetea washtakiwa.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Haya, ngoja tusikilizie hatima yake.
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Nafikiri Moren Ocampo amekataa shauri hilo la kutaka kesi ikasikilizwe Kenya.
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kesi hii itatoa mwelekeo utakaokuwa somo kwa wanaotafuta kuvuruga amani nchini mwetu kama itaendeshwa hadi tamati bila kifia njiani.
   
 5. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Ikisikiliziwa Kenya italeta machafuko zaidi. Na amewambia wakieneza maneno ya uchochezi kwa wananchi wao kuhusu suala la mwenendo wa Kesi basi atawa detain. Unacheza na Ocampo. Inavyoelekea kina Kenyata na Ruto wanapoliticize the whole issue. Na Kenya eti wanataka kupiga kura kujitoa ICC. But it is too late maana nasikia it takes a year for a counrty kujitoa. By then Ocampo atakuwa kamaliza kazi yake.   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  That very true. Politicians are using poor and frustrated citizens to get into power. Wao na familia zao wako safe wakati familia masikini wanauwana. This should be a lesson not only to politicians but also media. Nimemuhurumia yule kijana mtangazaji maana hata ela ya kesi imebidi majirani zake wamfanyie Harambee. Wakati wenzie kina Ruto wametinga The Hague na familia yote, madada, mtoto wife. It should be a lesson to radio and TV presenters.
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  A bit out of topic. Nasikia Netherlands wanafunga balozi yao Tanzania (I heard that from a reliable source) Na hii ita affect misaada tutakayopata toka kwao kwa sababu mashirika ya kiholanzi nayo ni likely yatafunga ofisi au yatakuwa na less budget. Wanafunga balozi nchi kadhaa ikiwemo Zambia na Bolivia. Tumekosa nini? Au kwa kuwa na sisi hatuna balozi Netherlands? Au diplomats wameshindwa kumantain good relationship na hawa jamaa. I feel sad.
   
 8. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  natamani nisikie ni makamba y, mwema, jk na mashalobaro wengine wanaokandamiza demokrasia tanzania.
   
 9. T

  Tanganyika Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaomba kesi iendelee huko huko the hague ili liwe fundisho kwa viongozi wa Africa..........kesi hizi zikiletwa kenya hakuna haki itatendeka kwani hawa jamaa wana hela balaa!! Nawashangaa baadhi ya wakenya wanalilia watu sita (wauwaji) ambao wako hai badala ya kulilia watu zaidi ya 1000 waliopoteza maisha na zaida ya 6000 waliyokuwa wakimbizi ndani ya nchi yao!!! Naamini Mungu atasimamia jambo hili hadi mwisho.
   
 10. bmx

  bmx Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  c kweli mkuu hapo kwenye red, mwanawe wa kwanza alimpata tangu 1920 peter kenyata, uhuru ni kati ya watoto wa mwishomwisho wa mke wa 4 wa mzee jomo, mama ngina,,
   
 11. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Wacha wafunge tena wangefunga leo ingekuwa poa sana hawa wazungu wote ni majambazi tu. Hatuwezi kuendelea kutegemea uncle Tom.

  Hao wauaji wa Kenya wacha wakafie jela very good move ingawa sikubaliani na hii maneno kutoka UK ati kesi iwe Kenya .... .... ... kuna resources za kutosha kuwasafirisha mashahidi .... ..... .....
   
 12. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usimsahau na Mkapa aloleta majeshi kuja kuua Wazanzibari, Pemba na Unguja, kunajisi wake za watu na mabinti zao na Tanzania kuzlisha wakimbizi kibao waliokimbilia Shimoni Kenya.

  Pia wako aloshirikiana nao lakini iko siku watatua The Hague kwa Moreno Ocampo.
   
 13. Margwe

  Margwe JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bado El Bashir na imla wa libya
   
 14. Garmii

  Garmii Senior Member

  #14
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  margwe laway gwargwe!
   
 15. S

  Senior Bachelor Member

  #15
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu FYI:
  campo hana mamlaka ya kuamua irudi au isirudi. ICC haiwezi kusikiliza kesi kama mahakama za ndani zina dhamira na uwezo (willingness and ability) ya kuendesha kesi hizo. Hi ni kwa mujibu wa ibara ya 17 ya Mkataba wa Roma unaoianzisha ICC. Kwa hiyo hilo pingamizi ya kenya kuhusu uwezo wao wa kusikiliza kesi hizi (objection on admisibility under article 17) lazima litolewe maamuzi na mahakama kabla haijaendelea. Kuwa na mahakama na sheria au idara ya uendesha mashtaka tu havitoshi kuthibitisha uwezo na dhamira ya kweli kuwa-prosecute. It is a legal issue. Asante
   
 16. S

  Senior Bachelor Member

  #16
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  FYI:
  Bahati mbaya hawa hawawezi kwenda ICC kwa hayo yalotokea zanzibar kwa kuwa:
  (1) Generally, ICC inashughulika na makosa yaliyotokea kuanzia 1 july 2002.
  (2) Sio kila mauaji yanaweza kushughulikiwa na ICC. Kuna vigezo na aina ya makosa (sio based on idadi ya victims. Hii sio ishu).
  (3). Hayo ya zanzibar hata kama ingekuwa yametokea sasa sidhani kama yangequalify kwa mujibu wa sheria za jinai za kimataifa.

  Asante
   
Loading...