Uhuru Kenyatta kukutana na Museven ujenzi wa bomba la mafuta

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,983
11,400
Rais Uhuru Kenyatta hakubaliani na bomba la mafuta kujengwa Tanzania na tayari ameshawaita Museveni na kampuni ya Total ambayo ndio wanaofadhili ujenzi wa bomba hilo pamoja na kampuni itakayojenga ya CNOOC kutoka China. Nachojiuliza wakati wanazungumza pale Arusha sialikuwepo mbona alikaa kimya, sasa mkutano umekwisha tumeshawekeana MoU na mjenzi keshapatikana anaanza kuleta mambo ya kitoto.

Sasa tumeshamwaga wino yeye anaanza kuleta porojo, anapomwita mkandarasi anakuwa na maana gani? Huo Mkutano tunaomba Dr. Mahiga na Prof. Muhongo wahudhurie pia. Haya mambo ya kitoto hatuyataki.

Presidents Kenyatta, Museveni to discuss pipeline plan Monday

Published on 20 March 2016
Presidents Kenyatta, Museveni to discuss pipeline plan Monday
President Uhuru Kenyatta and Uganda’s President Yoweri Museveni together with oil company executives will meet on Monday to hold further discussions on a route for a pipeline to transport the two countries’ oil, this is according to State House Spokesman Manoah Esipisu.

“President Uhuru Kenyatta will host Ugandan President Yoweri Museveni tomorrow (Monday). They will discuss the construction of the Uganda-Kenya oil pipeline, a key plank of the Northern Corridor Infrastructure Projects,” read the statement in part.

Uganda’s oil producers – Irish company Tullow Oil, French company Total and China’s CNOC – have been invited to the meeting, which will be held at State House, Nairobi.

The pipeline project was designed to move crude oil from the oilfields of Hoima to the Port of Lamu, through Kenya’s own oilfields at Lokichar.

In a communiqué issued after President Kenyatta’s State Visit to Uganda in August 2015, the two leaders said the development of a crude oil export pipeline needed to be implemented expeditiously to avoid any further delay in commercializing especially Uganda’s petroleum resources which were discovered nine years ago.

“In construction of the pipeline, Kenya favours the “northern route” through Lokichar, because as part of the Lamu Port, South Sudan, Ethiopia Transport (LAPSSET) project, it would transform infrastructure and the way of life of the people in the towns and counties across its path,” further read the statement.

Resolving the pipeline route is crucial to helping oil companies involved in Uganda and Kenya to make final investment decisions on developing oil fields.

Last week, Tanzania’s President John Magufuli said that Total, which has a stake in Uganda’s crude oil discoveries, had set aside USD4 billion to build a pipeline from Ugandan fields to the Tanzanian coast and that Tanzania wants the three-year construction schedule shortened.

The comments raised the stakes in a competition to secure the pipeline with Kenya, which wants Ugandan oil to be exported across its territory and wants the pipeline to link up with Kenyan oil fields.

Source: Citizen
 
Rais Uhuru kenyatta hakubaliani na bomba la mafuta kujengwa Tanzania na tayari ameshawaita Museven na kampuni ya Total ambayo ndio wanaofadhili ujenzi wa bomba hilo pamoja na kampuni itakayojenga ya CNOOC kutoka China. Nachojiuliza wakati wanazungumza pale Arusha sialikuwepo mbona alikaa kimya, sasa mkutano umekwisha tumeshawekeana MoU na mjenzi keshapatikana anaanza kuleta mambo ya kitoto.

Sasa tumeshamwaga wino yeye anaanza kuleta porojo, anapomwita mkandarasi anakuwa na maana gani? Huo Mkutano tunaomba Dr. Mahiga na Prof. Muhongo wahudhurie pia. Haya mambo ya kitoto hatuyataki.

Wadau naomba kuchangia hoja hii.Hilo bomba litakalojegwa toka uganda mpaka tanga lina uwezo wa kusafirisha mapipa laki mbili kwa siku.Tafiti zinazo fanyika za gesi na mafuta kwa uganda,drc,sudani ya kusini na tanzania ni nyingi.Kwa tanzania upande wa kaskazini mwa ziwa tanganyika kuna zaidi ya makampuni 2 yanafanya utafiti kule.Hapo mbeleni bomba hili pekeyake halita tosha kusafirisha mafuta ya hizi nchi zote.Sioni kama kuna ubaya kwa kenya kujenga bomba lao pia.

NAOMBA KUWASILISHA HOJA
 
Wewe hizo ni fujo, utafunguaje uzi mpya ndani ya Uzi wa mwenzako, fungua Uzi wako
 
nadhani huyo ndiye raisi wa kuiga mfano wake.

wafanya biashara huwa na machungu sana na biashara zao na atafanya kila linalowezekana kuhakikisha anapata biashara.
nchi inapokuwa na raisi anayekuwa na machungu katika interest za nchi kama mfanyabiashara anavyokuwa na machungu na biashara yake, then tunasema nchi imepata kiongozi.

utoto ni kusema mahiga na muhongo wahudhurie bali ukomavu ni kutafuta matokeo ya mazungumzo hayo na sisi wataalamu waandae counter reaction.

lengo ni kupata deal mimi naona uganda ndiye atanufaika maana hapa itakuwa ni tanzania na kenya kushindana kwa kuboresha manufaa uganda atapata.

anyway sisi bado tunaweza kuwa na advantage kwa kuwa tuna bandari nyingi the tanga tuidedicate exclusively kwa uganda use.

Rais Uhuru kenyatta hakubaliani na bomba la mafuta kujengwa Tanzania na tayari ameshawaita Museven na kampuni ya Total ambayo ndio wanaofadhili ujenzi wa bomba hilo pamoja na kampuni itakayojenga ya CNOOC kutoka China. Nachojiuliza wakati wanazungumza pale Arusha sialikuwepo mbona alikaa kimya, sasa mkutano umekwisha tumeshawekeana MoU na mjenzi keshapatikana anaanza kuleta mambo ya kitoto.

Sasa tumeshamwaga wino yeye anaanza kuleta porojo, anapomwita mkandarasi anakuwa na maana gani? Huo Mkutano tunaomba Dr. Mahiga na Prof. Muhongo wahudhurie pia. Haya mambo ya kitoto hatuyataki.
 
Rais Uhuru Kenyatta hakubaliani na bomba la mafuta kujengwa Tanzania na tayari ameshawaita Museveni na kampuni ya Total ambayo ndio wanaofadhili ujenzi wa bomba hilo pamoja na kampuni itakayojenga ya CNOOC kutoka China. Nachojiuliza wakati wanazungumza pale Arusha sialikuwepo mbona alikaa kimya, sasa mkutano umekwisha tumeshawekeana MoU na mjenzi keshapatikana anaanza kuleta mambo ya kitoto.

Sasa tumeshamwaga wino yeye anaanza kuleta porojo, anapomwita mkandarasi anakuwa na maana gani? Huo Mkutano tunaomba Dr. Mahiga na Prof. Muhongo wahudhurie pia. Haya mambo ya kitoto hatuyataki.
 
Rais Uhuru Kenyatta hakubaliani na bomba la mafuta kujengwa Tanzania na tayari ameshawaita Museveni na kampuni ya Total ambayo ndio wanaofadhili ujenzi wa bomba hilo pamoja na kampuni itakayojenga ya CNOOC kutoka China. Nachojiuliza wakati wanazungumza pale Arusha sialikuwepo mbona alikaa kimya, sasa mkutano umekwisha tumeshawekeana MoU na mjenzi keshapatikana anaanza kuleta mambo ya kitoto.

Sasa tumeshamwaga wino yeye io kuleta porojo, anapomwita mkandarasi na maana gani? Huo Mkutano tunaomba Dr. Mahiga na Prof. Muhongo wahudhurie pia. Haya mambo ya kitoto hatuyataki.
 
Hawa viongozi hawatafanya lolote la maana mwisho jumuiya itakufa, viongozi wote wa jumuiya wako kwenye nchi zao kibabe na si kwa maamuzi ya kidemkrasia, wanalazimisha urais kwa kuiba kura au kubadilisha katiba ili mradi ULAFI wa madaraka, na huu ulafi wa madaraka ni kwa ajili ya MASLAHI YAO BINAFSI na si wananchi wanao waongoza, kwa hiyo haishangazi kufanyiana UBABAE KWENYE SWALA LA MASLAHI, maana ndicho kimewaweka madarakani, nchi za kiafrika kujikomboa ni ngumu labada kizazi hiki cha Adam kiishe kije kipya.
 
Haujui kenya ili nyanganywa tonge mdomoni??.
Inaonekana JPM alifanya haraka kuutangaza huu mradi ndio maana M7 alisema hii ni speed ya Magufuli, hili jambo inaonekana likamstua Uhuru na naona Rais wa Total alikuja haraka kwa JPM kuweka mambo sawa nae kufika akapewa donge nono akabadili mawazo, sasa Uhuru anaona anachezewa mchezo ndio kaamua kuwaita wote kukata mzizi wa fitina.
 
JPM ndie aliyefanya umafya acha wapambane tu.. Ila Uganda nao waache umalaya wabaki na bwana mmoja
Hahaha duh!!! Kweli lakini ata uyo museveni angegoma kwenda kuonana na uhuru
 
Ngosha ana speed kali sana, atawapiga magoli mengi wakenya maana wameshaanza ogopa sasa.hata wazungu watamkubali tu Ngosha speed yake ndio ufanyaji wa kazi huko kwao.. Kenya wajiandae kulizwa tu na Ngosha.. Keep it up JPM wataisoma namba tu!
 
WaKenya wanaangalia namna ya kuvutia deal iende kwao.

Hamjui kila kitu wanatakaga wao
 
Ndugu zangu Wtz tupo katika jumuia ya Afrika mashariki lakini nasema siku zote tuwe macho na jirani yetu ambaye hapendi mwingine apate,je tutafika.kamwe hakuna umoja ila ni ulaghai wa kibabe ndani ya (EAC) nasi tuwe ngangari pale panapostahili.
 
Back
Top Bottom