Uhuru Kenyatta is leading Raila Odinga by 98.2%

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,577
1,700
KENYA VOTES 2017:
The election that never was OR was it?
With the tallying of votes underway, Uhuru Kenyatta is leading Raila Odinga by 98.2% to 01.1%. Who voted for Raila?
 
Ha ha ha ha ha! Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ha ha ha! Typical African politics.
 
Wakati mwingine kususia hakuna tija...
Raila angemuuliza kwanza Maalim aliposusia nini kiliendelea....
Sasa angeshiriki ingesaidia nini labda?
Chaguzi zetu washindi wanajulikana kabla ya uchaguzi, watawala wanaandaa uchaguzi kwakua ni matakwa ya katiba, wanaandaa namna ya kushinda iwe kwa nguvu au kwa wizi na uchaguzi ukiisha wanafanya sherehe za kujipongeza

Hii ni sawa na kujitekenya na kucheka mwenyewe.

Yule wa UG anakomaa kubadilisha katiba, yule wa Rwanda nae anahakikisha katiba inamruhusu kuongoza mwanzo mwisho, na mpinzani anayejitokeza anamtia shida mpaka wengine waogope kujitokeza, kule kwa Mugabe anajitahidi anaongoza mpaka anaingia kabulini, Kule kwa Nkurunziza ni vichekesho tupu.

Bara la Africa ni aibu tupu unaweza kuhisi sisi wote ni wehu
 
Back
Top Bottom