Uhuru Kenyatta akutana na Makamu wetu wa Rais mama Suluhu

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Raisi Uhuru Kenyata wa Kenya akifanya mazungumzo na Makamu wetu wa Raisi mama Suluhu huko Maua Mapya (Addis Ababa) Ethiopia!

da94ab79-e2f0-443f-b960-a0c0bdf64b38.jpg
 
Mtoa mada nimepata picha ya kwa nini unatetea sana ccm na serikali yake. Pasi na shaka wewe ni mtu wa jikoni kule kule
 
Huyo mama yuko poa sana. Uhuru,mtu wa totoz,tuachie maza wetu. Ubakie tu kea agenda ya kiutawala,mengine usiingizie
 
Raisi Uhuru Kenyata wa Kenya akifanya mazungumzo na Makamu wetu wa Raisi mama Suluhu huko Maua Mapya (Addis Ababa) Ethiopia!

da94ab79-e2f0-443f-b960-a0c0bdf64b38.jpg
Wanajifanya wajuzi wa mazungumzo lakini mambo ya ZNZ yanawashinda.
 
Ila Samiah Suluhu!!?nikimwonaga yule mama kwenye screen macho yangu huwa siyabandui kwake wallah!
 
alaff uhuru kinyatta anaonekana kama anamuogopa huyo mama angalia tuu mkao wake utafikli huyo mama ni rais na uhuru ni katibu wa wizara flani ata mikono imekaa kama anaomba kitu na mama anamueleza
 
Back
Top Bottom