Uhuru in Ethiopia to witness award of telecom licence to Safaricom

Yote hiyo ni kwasababu ni CCM financier , halafu mdogo wake ni jangili sijui hata kesi ya wizi wa nyara za serikali iliishia wapi ? Poor Tanzania
Alafu Kuna jamaa hapa anakasirika eti nimemuita muhindi. Hakuna kitu ametufanyia na hela zake huyu muizi, Ona MO anavyoipa pumzi Simba, kumbuka Manji alivyoilea Yanga lakini huyu m**** yeye hela zake ni CCM tu, dah walahi CCM wametuloga!
 
Alafu Kuna jamaa hapa anakasirika eti nimemuita muhindi. Hakuna kitu ametufanyia na hela zake huyu muizi, Ona MO anavyoipa pumzi Simba, kumbuka Manji alivyoilea Yanga lakini huyu m**** yeye hela zake ni CCM tu, dah walahi CCM wametuloga!
anahonga serikali hela ndefu kisha analipa Watanzania hela kidogo?
 
Mbona TZ hamjaileta hiyo safaricom yenu

Tatizo nyie wabahiri, unakuta Mtanzania mwenye kipato cha kati anang'ang'ania kwenye daladala chafu linalonuka shombo......mfumo wa ujamaa uliokua na desturi ya kutegemeana nafikiri uliwaathiri sana mpaka labda vipite vizazi vitano hivi ndio ufutike. Nilikua nahangaika kutafuta chai ya maziwa kwenye mighahawa mida ya jioni, yaani kote chai ya rangi, wanakuambia wakiweka ya maziwa hakuna atakayeinywa, wataambulia kumwaga.
 
Mbona TZ hamjaileta hiyo safaricom yenu
Ethiopia with its long protectionist market might have made the telco companies to slack coz of enjoying monopoly, since safcom is about to go in with its aggressiveness you will see how long it will take to break even.Trust me foreign companies can bring serious competition.Now to answer your question, looking at the telco business environment there are better markets to focus on at the moment than tz, mayb in future plus vodacom iko huko
 
Back
Top Bottom