UHURU DAY ngoma ya KINYAKYUSA Imetia fora

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Katika maadhimisho ya leo ya Uhuru wa TANGANYIKA, ngoma ya KINYAKYUSA Ling'oma toka wilaya ya Kyela anakotoka Mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunyange ndiyo iliyotia fora katika maonesho hayo.
1418118832612.jpg
 
Hivi wewe uliwahi kuona ngoma ya kienyeji? ile inatofauti gani na kwaya ?
 
Back
Top Bottom