UHURU 51: Baadhi ya yanayojiri uwanja wa Uhuru

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
mtangazaji wa tbc1 kanichefua sana!eti mojawapo ya maendeleo ni treni ya ubungo-posta!jee ni km ngapi za mkoloni tumeua?
 
Lazima asifie ili asihalibu kazi yake bila kuangalia ukweli na uhalisia kwa kile anachoongea
 
Naangalia gwaride la uhuru hapa, kuna askari kaanguka,
my take
kama kaanguka uwanjani, hakuna hata mabomu akiwa frontline itakuaje?
 
mtangazaji wa tbc1 kanichefua sana!eti mojawapo ya maendeleo ni treni ya ubungo-posta!jee ni km ngapi za mkoloni tumeua?

Miundo mbinu ya reli ilikuwa bora wakati wa Mkoloni kuliko ilivyo sasa miaka 51 baada ya Uhuru!
 
Amani na Utulivu: Tangu tupate uhuru, viongozi na waislam watz wamekuwa wahanga kwenye vyombo vya dola tofauti na waumini wa madhehebu mengine. hii imekiwa kinyume na wakoloni ambapo wakipambana na machifu na sio viongozi wa dini
ELIMU: shule zao nyingi zimetaifishwa na hata serekali ilipotaka kufanya makubaliano MOU waislam haikuwazingatia.
NECTA imekuwa kero kubwa kwa waislam
VYOMBO VYA HABARI: Hata hizo redio chache ziliziokuwepo zinapigwa vita kwa visingizio vya Uchochez
MAENDELEO. WAMEANZSHIWA BAKWATA ili kurudisha nyuma gurdumu la maendeleo
 
Nimefurahishwa sana na wimbo ulioimbwa na alaiki ya watoto zaidi ya 200 wameisifia Tanzania kwa kila hali kwa umakini na ukakamavu mkubwa naimani hii haitafutika katika kumbukumbu zao. Na hakika hakuna mtoto hata mmoja wa skul bus pale.
 
Amani na Utulivu: Tangu tupate uhuru, viongozi na waislam watz wamekuwa wahanga kwenye vyombo vya dola tofauti na waumini wa madhehebu mengine. hii imekiwa kinyume na wakoloni ambapo wakipambana na machifu na sio viongozi wa dini
ELIMU: shule zao nyingi zimetaifishwa na hata serekali ilipotaka kufanya makubaliano MOU waislam haikuwazingatia.
NECTA imekuwa kero kubwa kwa waislam
VYOMBO VYA HABARI: Hata hizo redio chache ziliziokuwepo zinapigwa vita kwa visingizio vya Uchochez
MAENDELEO. WAMEANZSHIWA BAKWATA ili kurudisha nyuma gurdumu la maendeleo

Big up mkuu, kumbe umekimbilia huku, nimecheka ulivyopiga simu redio imani leo na simu yako ikakatwa kabla hujamaliza kumtaja waziri Mulugo! Lol,
 
wakati wa kutoa mchango mtu hutoa kilicho ndani ya uwezo wake.
Tanzania tangu uhuru hakuna maendeleo mengine tunayojivunia isipokuwa reli ya Mwakyembe, ndicho walichofanya!
 
Kikwete anahutubia ktk sikukuu ya miaka 51 ya Tanzania bara, wananchi waliohudhuria naona wanaondoka!
Kulikoni walifata tu gwaride?
 
Amani na Utulivu: Tangu tupate uhuru, viongozi na waislam watz wamekuwa wahanga kwenye vyombo vya dola tofauti na waumini wa madhehebu mengine. hii imekiwa kinyume na wakoloni ambapo wakipambana na machifu na sio viongozi wa dini
ELIMU: shule zao nyingi zimetaifishwa na hata serekali ilipotaka kufanya makubaliano MOU waislam haikuwazingatia.
NECTA imekuwa kero kubwa kwa waislam
VYOMBO VYA HABARI: Hata hizo redio chache ziliziokuwepo zinapigwa vita kwa visingizio vya Uchochez
MAENDELEO. WAMEANZSHIWA BAKWATA ili kurudisha nyuma gurdumu la maendeleo

Kwahiyo una maoni gani? Kulalamika tu hakuleti tija. Tuchome makanisa na kufunga baa zote na sehemu zote zinazouza nyama ya nguruwe? Au? Onyesha fikra zako tuzidi kukufahamu.
 
Naona jk kakatisha ratiba ya vikundi vya ngoma kwa kuja na gia ya kuwatambulish awageni wake,
ila watotot wamewajibika sana hv posho ndio ile ile sh 10000 kwa siku mpaka leo
 
"THANK YOU SO VERY MUCH"By JK. Samahani mimi nimesoma shule ya kata hivi hii sentensi ni sahihii eenh?
 
Nyingine hii "i am standing infront of every body else" hii ilikuwa ndo intro ya president wetu.
 
Nimekuwa nikifuatilia maadhimisho ya sikukuu ya Uhuru kupitia TV station na lengo langu kubwa ilikuwa kumsikiliza Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nikitegemea atatuambia kitu wananchi wake lakini ameishia kuwatambulisha wageni na wacheza ngoma wa Uganda na kutuambia kuwa speech inatolewa kila baada ya miaka mitano nikaanza kujiuliza Raisi wetu anatoa hotuba zake wakati gani?, Kama katika tukioa muhimu kama ili awahutubii wananchi wake, utaratibu wa hotuba miaka mitano ulikuwepo tokea kipindi cha Mwalimu AU umeanza hivi karibuni, Ivi kama sikuuu ya uhuru imepoteza umaana kiasi cha hadi viongozi wetu hawaitilii maanani kwa nini tuendelee kupoteza pesa nyingi kujiandaa?
 
"THANK YOU SO VERY MUCH"By JK. Samahani mimi nimesoma shule ya kata hivi hii sentensi ni sahihii eenh?

Mhh.. I think JK made an informal speech so kama umesoma language kuna kitu kinaitwa stylistics..inaruhusiwa kubreak rules za language in whatever ways but ultimately I make sense au ujumbe ueleweke! NAKUJIBU: JK yupo corect kabisa..katika mazungumzo unaweza kusema SO MUCH ikatosha but puting SO VERY ts just informal language hata ukienda wale ama scortland wanazungumza... Obama mwenyewe ndo anaharibu kabisa kiingereza.
 
He "Thank you so very much"by JK hii imekaaje hii!!! kumbe si Mlugo tu!" Au ndo kupanic sababu ya watu kuondoka uwanjani baada ya halaiki? maana imebidi akatishe ratiba ya ngoma ili aongee na kuwaomba watu wasubiri ngoma ya Rwanda"
 
Hivi Rais alikuwa na haja gani ya kusimama pale na kuzungumza coz haya yalikuwa ni ya mc na camera man kutujulisha nani ni nani. Zaidi tumeshuhudia broken English
 
Huyu mtoto anayecheza ngoma na kupiga ni balaaa...ndo aliyenifurahisha zaidi..ni wa kisukuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom