NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,516
- 17,425
Napewa taarifa za malalamiko ya walimu hawa waliotelekezwa tangu jana jioni kwa kutopewa walau hata chakula cha jioni hapo TABORA TTC! Wanalishwa milo miwili tu kwa siku yaani chai na chakula cha mchana bila chakula cha jioni!! Hadi hapa napoandika ujumbe huu ni kwamba walimu hao hawajala hadi sasa wanalalamika tu njaa zinawauma tangu walipokula saa saba!!!"
YAANI WANATUONA WAJINGA SANA HAWA MAAFISA ELIMU! HADI SASA SAA MBILI HII USIKU HATUJALA WALA HATA MALIPO YA AWALI HATUJAPOKEA" Akiongea kwa simu mwalimu mmoja kaniambia!! Nimeshangazwa sana hivi kwani Afisa elimu Mkoa na katibu Tawala Tabora wanajua haya??? Kuwa walimu wao wanashindishwa njaa usiku siku ya pili??
Tena wakiambiwa malipo ya kusahisha script moja sh.200 wakati kila mwanafunzi wa kidato cha nne kalipiwa shilingi 8000|= na serekali fedha elimu bure kwa mtihani huu wa mock mkoa!!
Natoa wito kwa waziri wa Elimu, Katibu wa wizara ya elimu, katibu tawala wa mkoa na afisa elimu wa mkoa wa Tabora pamoja na TAMISEMI Kuchukua hatua!! Serekali itambue walimu hawa wanaodhulumiwa haki zao nyingi kama hivi ni wasimamizi wa uchaguzi miaka yote! Kuwatenda haya ni kukoleza pili na chumvi kwenye kidonda cha miaka mitano ya utawala huu wa kutojali haki zao!! Ikumbukwe wana ndugu ambao ni wapiga kura!!
Mamlaka husika chukueni hatua kwa udhalilishaji huu wa walimu hawa!!
Tahadhari; Sitafuti cheo wala simtakii yeyote baya kwa bandiko hili!!
Tabora kuna matatizo sana ya watumishi wa umma kuliko kanda zote za nchi hii!
Asanteni kwa kusoma!!!