Ni watuhumiwa wanne wakiwamo polisi wawili wamehukumiwa miaka 160 kwa kosa la kukutwa na nyara za serikali. Walikutwa na vipande 70 vya meno ya Tembo mwaka 2013.
Naona mabilioni ya Magufuli yameanza kufanya kazi. !
aiseee wahujumu uchumi wamejazana pale Lumumba, wana matumbo makubwa makubwa, wanakula Na kusazaa, mnaenda kuwaonea watu kwa kutaka sifa za kipuuzi kwa wananchi, ujinga wa kiwango huu,
Babu jp naona kama huko mbali na ukweli huyu alidhamiria tu kuonyesha kitu hapo hasa hilo la dini vinginevyo hapana sababu yoyote ile kuorodhesha hayo majini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.