Uhshauri

Oct 14, 2013
52
25
Wana jamii forum, ninamdogo wangu amemaliza form 4 na maks hizi.
CHEMISTRY C
BIOLOGY C
MATH D
PHIYSICS F
ENGLISH D
KISWAHILI C
amesoma shule ya technical moshi na maichana, naombe mwenye ushauri mziri anisaidie. Asome chuo gani kutokana na masomo yake? Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arudie kufanya physics apate ata D, au aende diploma ya clinical officer degree anaweza kusomea udaktari ,KCMC kuna diploma ya physiotherapy lakin lazima atoe iyo F ya physics,pia kuna mbeya tech,Arusha tech na DIT jaribuni kama watampokea
 
Back
Top Bottom