
UHONDO USWAHILINI
Wakazi hawa wa Jijini la Dar, leo asubuhi walifumwa na kamera yetu katika vilabu vya pombe za kienyeji vya Kigogo Luhanga wakichangamkia nyama choma maarufu kwa jina la Mikwasukwasu, Ukitaka kujua bei zao kipande cha utumbo wa kuchoma ni shilingi 100/= ukitaka Bigijii 200/=, nyama hii ni mfano wa steki, huitwa Big G kwasababu unapoitafuna kipande chake unaweza kutumia hata zaidi ya saa tatu hujakimaliza!!
Gonga Hapa