Uhitaji wa kukutana kimwili, watoto au vijana wanaupataje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhitaji wa kukutana kimwili, watoto au vijana wanaupataje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Hmaster, Jan 13, 2011.

 1. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huwa najiuliza sana hili suala. Katika kukua kwangu nilijikuta tu nawatamani wasichana na hasa wakijiachia ingawa sijawahi kuelezwa na wakubwa kuwa huwa wanaliwa na wanaume wakati wakiwa na njaa. Sasa swali ni vipi uhitaji huu unajitokeza? Na kwanini mtu anafanya barabara pasipo maelekezo hata ya mtu mwingine? Wakubwa mara nyingi huwafuma watoto wakifanya hivyo na kuwachapa lakini wala hawana haja ya kuwahoji wapi wamejinza hayo. Hii si kwa wenye chumba kimoja tu bali hata magetini. Nawaombeni sana mchangie kwa busara!
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  kaaazi kwelikweli
  Hujaeleweka mkuu, umeandika kwa hisia sana
   
 3. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Nature do not need a class.... It must happen automatically .... Otherwise, that person is biologically incomplete.....
   
 4. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HIYO ni kama chakula ,unachofundishwa mtu ni stadi za kula!
   
 5. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  clarfy it
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Swali linajibika kibiology zaidi.
  Nafikiri ni mambo ya hormones wakati miili inapokuwa inakua.
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  nature take its course....
  ni kama vile mimea inakua kufuata mwanga wa jua..
   
Loading...