UHAURI: Wezi wa fedha za Serikali wafilisiwe ili mali zao ziwe za Serikali

Wateule wa Rais wamekuwa vinara wa kuiba fedha za serikali.

Wakati umefika sasa wa serikali kukamata mali zao bila kujali zilipatikana kwa fedha gani zitaifishwe na kuwa mali za serikali ili kufidia fedha zilizoibiwa.

Ni aibu kwa mteule wa rais kuwa mwizi kwani kunamshushia hadhi aliyemteua.
WANAPASWA KUNYONGWA MPAKA KUFA
 
Hii nizaid ya hatari. Putin asipo sitisha vita wachungaji +wanamaombi kazi wanayo.
 
Wateule wa Rais wamekuwa vinara wa kuiba fedha za serikali.

Wakati umefika sasa wa serikali kukamata mali zao bila kujali zilipatikana kwa fedha gani zitaifishwe na kuwa mali za serikali ili kufidia fedha zilizoibiwa.

Ni aibu kwa mteule wa rais kuwa mwizi kwani kunamshushia hadhi aliyemteua.
Somalia na shida zao zote hakuna mwizi, sisi mwizi tuna cheka nae, tuwanyonge tumalizane nao
 
Jamaa kabla ya kuiba wanakaa na wanasheria wazuri

Hao wanasheria wazuri wako wapi wanaomtoa shimoni mwizi kama nao sio waizi
Yaani hela za miradi zimeingia kwa ajili ya mradi fulani Halafu hela zinaonyesha wao ndio wamechukua Sasa huyo mwanasheria atatetea nini hapo

Na Kwanini waibe? Badala ya kuendeleza miradi ya wote
Halafu kuna wapumbavu wanasema tumedumazwa na wazungu
Stupid excuses always
 
Huyo rais mwenyewe ni muadilifu mpaka useme ni aibu kwa mteule wake kuwa mwizi? Hao wateule wa rais ndio husimamia michakato ya wizi wa kura na kunajisi uchaguzi ili rais apatikane. Sasa katika mazingira hayo ya mifumo michafu unamuwajibisha nani?
Magufuli alipora pesa za watu kwenye prior bargaining mpaka leo hatujaambiwani shilingi ngapi?
Watu waliporwa nyumba zao zikaishia mikononi mwa kina feresh na ditto.
Ni ngumu sana kwa mtumchafu kumsimamia mchafu mwenziwe
 
Mkuu hii kazi ilimshinda hata "jiwe", unadhani Nani ataiweza!?.
 
Nyie endeleeni kupigwa tu mpaka mtakapo amua kufuata nyayo za Sri Lanka, Wateule walafi ni reflection ya Raisi mlafi!

Aliekuwa anazirudisha hizo mali kwa mlango wa nyuma mlimwita dikteta mshamba anayechukia matajiri. Huyo tajiri kakwepa kodi si chini ya miaka 2O kufika hapo aliko.
Achana nao watanyooka.
 
Mwamba alikuwa anapita nazo kimya kimya, ukiona umeonewa, lete vithibitisho halali vya upatikanani halali wa ukwasi wako.....unakimbilia kuomba huruma ya jamii ya walafi wenzako mitandaoni, ye hana habari....anaenda kumpa mama mwenye dhiki anayedaiwa matibabu na tayari keshapoteza mtu pale Muhimbili, mara kaagiza ndege kwa cash....sio vichwa na mabehewa used kwanza kisha ndo mapya(ulambaji asali huu)

Ni ujinga kuthibitisha kuwa mtumishi amekwapua billions of shillings, kisha kumuacha POLISI, TAKUKURU na MAHAKAMA watende kazi ya kumfunga tu huyu ilihali wao wote wananunulika, si wanalipwa milioni milioni kama mishahara, hili JIZI likitoa hata 10m kwa kila kigingi, likabakiwa na 5bn ana hasara gani?

FILISI, PIGA SHABA

Tume mpoteza MTU alie elewa vizuri dawa ya hayo majizi.
 
Hakuna wa kulianzisha hilo ktk huu utawala
Wateule wa Rais wamekuwa vinara wa kuiba fedha za serikali.

Wakati umefika sasa wa serikali kukamata mali zao bila kujali zilipatikana kwa fedha gani zitaifishwe na kuwa mali za serikali ili kufidia fedha zilizoibiwa.

Ni aibu kwa mteule wa rais kuwa mwizi kwani kunamshushia hadhi aliyemteua.
 
Huku akishindwa kumfilisi Bashite and co
Mwamba alikuwa anapita nazo kimya kimya, ukiona umeonewa, lete vithibitisho halali vya upatikanani halali wa ukwasi wako.....unakimbilia kuomba huruma ya jamii ya walafi wenzako mitandaoni, ye hana habari....anaenda kumpa mama mwenye dhiki anayedaiwa matibabu na tayari keshapoteza mtu pale Muhimbili, mara kaagiza ndege kwa cash....sio vichwa na mabehewa used kwanza kisha ndo mapya(ulambaji asali huu)

Ni ujinga kuthibitisha kuwa mtumishi amekwapua billions of shillings, kisha kumuacha POLISI, TAKUKURU na MAHAKAMA watende kazi ya kumfunga tu huyu ilihali wao wote wananunulika, si wanalipwa milioni milioni kama mishahara, hili JIZI likitoa hata 10m kwa kila kigingi, likabakiwa na 5bn ana hasara gani?

FILISI, PIGA SHABA
 
Mwamba alikuwa anapita nazo kimya kimya, ukiona umeonewa, lete vithibitisho halali vya upatikanani halali wa ukwasi wako.....unakimbilia kuomba huruma ya jamii ya walafi wenzako mitandaoni, ye hana habari....anaenda kumpa mama mwenye dhiki anayedaiwa matibabu na tayari keshapoteza mtu pale Muhimbili, mara kaagiza ndege kwa cash....sio vichwa na mabehewa used kwanza kisha ndo mapya(ulambaji asali huu)

Ni ujinga kuthibitisha kuwa mtumishi amekwapua billions of shillings, kisha kumuacha POLISI, TAKUKURU na MAHAKAMA watende kazi ya kumfunga tu huyu ilihali wao wote wananunulika, si wanalipwa milioni milioni kama mishahara, hili JIZI likitoa hata 10m kwa kila kigingi, likabakiwa na 5bn ana hasara gani?

FILISI, PIGA SHABA
Nadhani kitu muhimu ni kuanzishwa kwa kinachoitwa "Life style Audit". Viongozi wote wawe wanachunguzwa na kutoa maelezo ya vyanzo vya utajiri wao. Pia wafanyabiashara na matajiri wengine lazima utajiri wao ulandane na biashara zinazofahamika na marejesho ya kodi wanazolipa.
 
Back
Top Bottom