Uhasibu na Wahasibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhasibu na Wahasibu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by B101, Nov 12, 2008.

 1. B101

  B101 Member

  #1
  Nov 12, 2008
  Joined: Oct 30, 2008
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wahasibu wa Tanzania, chukueni muda kujua ni standards gani zinatumika kwa mazingira ya kihasibu TANZANIA. Kutokana na wimbi la utandawazi kuwa kubwa kiasi cha kuwafunua macho wahasibu wa kitanzania katika standards na practices za kihasibu ambazo ama hazihusiki au zimepitwa na wakati kwa mazingira ya kwetu. Standards hizi zinaaply kwa Tanzania, kama nilivyonukuu kutoka kwenye tovuti ya bodi ya wahasibu na wakaguzi Tanzania (NBAA)[www.nbaa-tz.org]..

  IFRSs: 1,2,3,4 na 5

  IASs:1,2,7,8,10,11,12,14,15,16,17,18,19,20,21,23,24,26,27,28,29,30,31,32,33,34,36,37,38,39,40 na 41

  ISAs:200,210,230,250,260,320,402,501,505,510,520,530,540,545,550,560,570,580,610,620,710 na 720

  Na kuna zile standards za kitanzania ambazo hazina mbadala wa kimataifa

  Tanzania Financial Acconting Standards (TFASs):
  12-Director's Report
  16-Accounting for Extractive Industries
  23-Accounting for Value Added Tax(VAT)
  24-Public Sector Accounting

  Tanzania Statements of Recommended Practice (TSRPs):
  2-Accounting for Non-Governmental Organisations
  3-Governance in the Public Sector- An Accounting Officer's Perspective

  Zingatia, sio kila kitu utasoma darasani!
   
 2. Wakunyuti

  Wakunyuti JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  Ingekua vizuri zaidi kama ungetudondoshea izo nondo apa,especially za Tanzania Standards, maana hata nikijaribu kufungua iyo link ya nbaa inakataa..hii ni forum ya kuelimishana. Karibu ndugu.
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  jaribu.... Welcome to the NBAA Official Website
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Hakuna standards mpya?
   
 5. p

  pacificamarine Member

  #5
  Sep 13, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada ebu nisaidie kuzipata hizi standards maana mimi huku niliko sina access na mitandao hivyo napitwa na wakati
   
Loading...