Uhasama wa CHADEMA na CCM Jimbo la HAI usiruhusiwe kusambaa nchi nzima

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
Nimesiliza redio Planet FM asubuhi Karibu wa CCM na wanachama wao wakilalamika mbele ya mkuu wa Wilaya kuwa wafuasi wa CHADEMA wanawagongea milango usiku na kuwaamrisha watu wa CCM kuonyesha vitambulisho vya mpiga kura wanavichukua, ukigoma unapigwa.
CHADEMA wanawaambia CCM kuwa nyie si mnajifanya wababe? Tutaonyeshana kazi.
CCM wanaishi kwa wasiwasi huko Hai.
OMBI:
Hii chuki wanayoipandikiza CCM itakuja angamiza nchi. CCM waache hila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM nao watapaleka Janjaweed kwa kusaidiwa na polisi. Vita na mauaji ya kimbari huanza kwa vitu vidogo vidogo sana. Baadaye hukuzwa na vyombo vya habari mpaka mauaji makubwa na vita visivyokoma huanza. Tusifikiri kuwa yaliyotendeka huko Sudan na Darfur hayawezi kutendeka hata kwetu.
Endapo tutatumia njia zile zile walizotumia wao, hasa za ubaguzi wa kikabila(kidini) wakafika walipofika, na sisi tutarajie kufika siku moja, kama ndio tamaa zetu.
 
Nimesiliza redio Planet FM asubuhi Karibu wa CCM na wanachama wao wakilalamika mbele ya mkuu wa Wilaya kuwa wafuasi wa CHADEMA wanawagongea milango usiku na kuwaamrisha watu wa CCM kuonyesha vitambulisho vya mpiga kura wanavichukua, ukigoma unapigwa.
CHADEMA wanawaambia CCM kuwa nyie si mnajifanya wababe? Tutaonyeshana kazi.
CCM wanaishi kwa wasiwasi huko Hai.
OMBI:
Hii chuki wanayoipandikiza CCM itakuja angamiza nchi. CCM waache hila

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Hii ni mara ya kwanza kusikia. Nimekuwa nkisikia kinyume chake. Kama ni kweli basi hii Kiingereza tunasema " new precedence ". Sasa mkuu wa wilaha kijana mahiri Sabaya bila shaka atadhibiti hali hii mara moja.
 
wakati wanafanyiwa hivyo watu wa vyama vya upinzani mlikuwa mnaona ni halali, sasa kama unachosema kimetokea kweli walaumu viongozi wa ccm ambao ndio waasisi wa hili jambo
 
Nimesiliza redio Planet FM asubuhi Karibu wa CCM na wanachama wao wakilalamika mbele ya mkuu wa Wilaya kuwa wafuasi wa CHADEMA wanawagongea milango usiku na kuwaamrisha watu wa CCM kuonyesha vitambulisho vya mpiga kura wanavichukua, ukigoma unapigwa.
CHADEMA wanawaambia CCM kuwa nyie si mnajifanya wababe? Tutaonyeshana kazi.
CCM wanaishi kwa wasiwasi huko Hai.
OMBI:
Hii chuki wanayoipandikiza CCM itakuja angamiza nchi. CCM waache hila

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha iangamie tuanze upya labda heshima itashika mkondo wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesiliza redio Planet FM asubuhi Karibu wa CCM na wanachama wao wakilalamika mbele ya mkuu wa Wilaya kuwa wafuasi wa CHADEMA wanawagongea milango usiku na kuwaamrisha watu wa CCM kuonyesha vitambulisho vya mpiga kura wanavichukua, ukigoma unapigwa.
CHADEMA wanawaambia CCM kuwa nyie si mnajifanya wababe? Tutaonyeshana kazi.
CCM wanaishi kwa wasiwasi huko Hai.
OMBI:
Hii chuki wanayoipandikiza CCM itakuja angamiza nchi. CCM waache hila

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri huu ungeanza na yule anapoteza watu

Walipokuwa wanayafanya hayo hayo watu wa CCM kwa msaada wa polisi mbona hamkulalamika?
 
Back
Top Bottom