Uharibifu wa Mazingira waleta balaa Kenya - video | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uharibifu wa Mazingira waleta balaa Kenya - video

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwenda_Pole, Jul 25, 2009.

 1. Mwenda_Pole

  Mwenda_Pole JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2009
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa muda sasa majirani zetu wakenya wamekumbwa na hali mbaya ya ukame kwa kiasi kikubwa. Wafugaji wamepoteza mifugo mingi sana kutokana na kufa kutokana na ukosefu wa malisho pamoja na maji. Watoto wameacha kwenda shule kutokana na njaa. Mfumo mzima wa kimaisha umeathirika kwa kiasi kikubwa. Sehemu iliyoathirika kwa kiasi kikubwa ni wilaya ya Kajiado ambayo ndio maarufu kwa jamii ya wafugaji (Wamasai wa Kenya) na hii wilaya ndio inapaka na Tanzania katika mkoa wa Arusha (Namanga).
  Katika utafiti ambao wameufanya unaonyesha kwamba hayo ni madhara yatokanayo na uharibifu wa mazingira hasa ukataji miti katika misitu yao na hii ishu imekuwa so serious kiasi cha wafugaji wengine kuhama mpaka kuvuka mpaka na kuja sehemu ya Tanzania kutafuta malisho na Maji kwa ajili ya mifugo yao.
  Kwa habari zaidi Tazama video hapo chini.

  http://www.youtube.com/user/NTVKenya#play/uploads/2/f23E7PeomP4

  Tunajufunza nini hapa Watanzania kutokana na hili janga la hao wenzetu..??
   
Loading...