Uhandisi wa Online marketing.....kwa Bongo kweli?

agala

Member
Sep 13, 2011
57
12
Ila tanzania tuko nyuma sana hata provision ya Degree of Online marketing badoo..! kwa mfano wabongo wanajitahidi kutangeneza

system za online marketing lakini vyuoni hiyo course haipo ona michuziblog,mtaa kwa mtaa,dartalk na wengine wengi wanasehemu za kutangaza na na makampuni kama tigo,voda,airtel n.k wanamatangazo ya kutangaza na jigambeads imesimama kati ya hao watu wawili ili kuendesha hiyo process bac ni vyema kuwa na degree coz system zipo.
 
Back
Top Bottom