Uhandisi ndiyo fani pekee duniani inayotoa majibu halisi kwa walaji tofauti na udaktari ambao umeshindwa kuichambua chanjo ya COVID-19 ieleweke

1627820430907.png

Tulioshindwa kuielezea Corona hatuna tofauti na Uchawi huu hapa katika karne ya 21.
 
Mainjinia na nyinyi ni tatizo kubwa. Bora madaktari wanapambana na kirusi kisichoonekana sasa nyinyi hilo daraja linaonekana lakini bado hamuwezi kulijenga vizuri.
Mleta mada hajakutana na makajanja ndio ataelewa ufanisi wa hao jamaa zangu
 
Back
Top Bottom