Uhamisho

Allam

Senior Member
May 4, 2013
142
9
Naomba muongo zo wa kuandika barua za kuomba kubadilishana kituo cha kaz mkoa to mkoa mie ni mwl wa sec.
 
We mwalimu gani hata kuandika barua hujui bana?mamaee

Wala usishangae kuna mwalimu aliajiriwa mwaka huu february ni mwalimu wa Kiswahili ila alikuwa anataka asaidiwe kuandika barua ya kudai hela ya Kujikimu siku hizi hata Essay watoto wanaandika kifupi ka wanaandika sms
 
Nadhani hujanielewa, hitaji langu ni maofisa wepi inatakiwa barua ipitie kwao
 
Wala usishangae kuna mwalimu aliajiriwa mwaka huu february ni mwalimu wa Kiswahili ila alikuwa anataka asaidiwe kuandika barua ya kudai hela ya Kujikimu siku hizi hata Essay watoto wanaandika kifupi ka wanaandika sms

kweli maana ya maana anayo msemaji
 
kopo tupu halikosi kelele

Sometimes mnajikosesha credibility. Hata kama mtu alkuwa ana nia ya kukusaidia anahairisha... sasa ulipoandika ""KUXEMA" Ni kwamba umeokoa muda au ndio umefupisha maneno. Si ungeandika tu KUSEMA;

Unaeleshwa povu linakutoka..
 
aibu kweli mwalimu wa sec unashindwa kujishughulisha mwenyewe hadi uombe wa jf? kweli elimu ma tcha wa siku hz...
 
Sometimes mnajikosesha credibility. Hata kama mtu alkuwa ana nia ya kukusaidia anahairisha... sasa ulipoandika ""KUXEMA" Ni kwamba umeokoa muda au ndio umefupisha maneno. Si ungeandika tu KUSEMA;

Unaeleshwa povu linakutoka..

kama umeshindwa wacha wajuvi waje
 
Back
Top Bottom