unahama kutoka wapi tanga to lindi
We mwalimu gani hata kuandika barua hujui bana?mamaee
Wala usishangae kuna mwalimu aliajiriwa mwaka huu february ni mwalimu wa Kiswahili ila alikuwa anataka asaidiwe kuandika barua ya kudai hela ya Kujikimu siku hizi hata Essay watoto wanaandika kifupi ka wanaandika sms
Nadhani hujanielewa, hitaji langu ni maofisa wepi inatakiwa barua ipitie kwao
naona mnataka kuxema kwamba kuna walimu wa UPE?
(UALIMU PASIPO ELIMU)
kuxema" ndio nini!?
kopo tupu halikosi kelele
DAAAAAH hatari sana!
aibu kweli mwalimu wa sec unashindwa kujishughulisha mwenyewe hadi uombe wa jf? kweli elimu ma tcha wa siku hz...
Sometimes mnajikosesha credibility. Hata kama mtu alkuwa ana nia ya kukusaidia anahairisha... sasa ulipoandika ""KUXEMA" Ni kwamba umeokoa muda au ndio umefupisha maneno. Si ungeandika tu KUSEMA;
Unaeleshwa povu linakutoka..