Uhamisho wa Disemba kwa Waalimu mwaka 2016, vipi Process zimeshaanza?

tommyy

Senior Member
Mar 7, 2013
178
85
Wakuu Habari za Leo?

Kwa anaejua naomba anijuze kuhusu wale wanaotaka kuhama vituo vya kazi katika mkoa mmoja na kwenda vituo vyengine katika mkoa mwengine Hususan kwa Walimu na Hasa uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi.

Vipi process zimeshaanza kushugulikiwa za kupitisha barua Wilayani na Mikoani?
 
DEO amegoma kusaini barua anadi Rais kazuia michakato
Acha uoga nenda kwa DED umuulize anatumia mamlaka gani kuzuia process zisiendelee? Mbona mimi kasaini na sasa inaelekea mkoani?
 
Mkuu huku kwetu wanadai sasa hv hakuna barua yyte inayoenda Tamisemi so hata wakisain haiendi popote
Ya kwangu iko njiani kuelekea TAMISEMI wewe uko nchi nyingine? Process zinaendelea Mbona watumishi wengi wanaendelea kuhama?
 
Back
Top Bottom