Uhamishaji wavamizi mabwepande kuna harufu ya rushwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhamishaji wavamizi mabwepande kuna harufu ya rushwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by edward chengula, Sep 22, 2012.

 1. e

  edward chengula New Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabla ya zoezi la kuhamisha wavamizi wa maeneo ya watu katika kata ya Wazo na boko wilayani kinondoni, zoezi lililo ratibiwa na kamanda wa polise Kenyela. moja wa wamiliki wa maeneo yaliyovamiwa alitamba katikti ya watu waliokuwa kwenye mstari wa kuchukua fedha kwenye ATM machine kuwa sasa wameamua kutumia fedha zao ili kuwaondoa wavamizi hao kwani wameshatoa fedha polisi na maeneo mengine ya mamlaka ili kufanya zoezi hilo liende. baada ya wiki moja tu polisi wakavamia na kubomoa makazi ya wavamizi hao.
   
Loading...