GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,006
Haya yaliyonikuta huku ughaibuni, passport yangu imeandikwa nimezaliwa Mjini, passport ya zamani imeindikwa nimezaliwa Zanzibar.
Sasa nalazimika kubadilisha baadhi ya mustakabadhi zangu kutoka Zanzibar to Mjini, yaani place of birth.
Sasa nimelazimika kupeleka cheti cha kuzaliwa ili kubadilisha place of birth, na cheti cha kuzaliwa kimeandikwa nimezaliwa Mnazi Mmoja.
Swali naulizwa umezaliwa Mjini? Ni mji gani huo usiokuwa na jina?