Uhamiaji YAZINDUKA: Jandu Singh na wenzake 18 kupanda kizimbani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhamiaji YAZINDUKA: Jandu Singh na wenzake 18 kupanda kizimbani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Nov 2, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Jandu Singh

  Katika kile kinachoaminika kuwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani Bw. Shamsi Vuai Nahonda la kuwataka maafisa uhamiaji kuonesha ndani ya wiki tatu wamefanya nini kudhibiti uhamiaji haramu mmiliki wa kampuni ya Jandu Construction & Plumbing, Indertit Sigh Jandu, amekamatwa na Uhamiaji kwa tuhuma za kuwahifadhi na kuwatumikisha wahamiaji haramu 18.

  Jandu ambaye ameshiriki kujenga jengo la Uhamiaji Kurasini, alionyesha jeuri akidai kuwa na mahusiano na vigogo Uhamiaji, serikalini na wanasiasa lakini sasa yuko mahabusu. Walikamatiwa eneo la kampuni hiyo Buguruni Dar es Salaam Jumatatu usiku. Kumi na saba (17) ni raia wa India na mmoja wa Pakistan.

  Jandu aliamua kutafuta njia ya kuzima sakata hilo kwa ‘wakubwa' kwa kwenda makao makuu ya Uhamiaji lakini akakwaa kisiki.

  Wafanyabiashara wenye asili ya Kiasia wamekuwa wakifanya biashara ya watu kwa kuingiza wahamiaji wengi na kuwatumikisha katika kampuni zao, baadhi wakiwa katika maandalizi ya kwenda kufanya kazi Afrika Kusini.

  HABARI ZAIDI HAPA

  ++++++++++++
  UPDATE:

  Habari zilizopatikana usiku huu zinaeleza kwamba Jandu na wenzake 18 watapandishwa kizimbani kesho Alhamisi asubuhi wakikabiliwa na mashitaka kadhaa ya kukiuka sheria za uhamiaji.

  ++++++++++++
  UPDATE:

  Uhamiaji wakamata wengine 25 jana usiku, nao watashitakiwa kesho Kisutu. walikamatiwa Kariakoo, Msasani na Ukonga, wamo Watanzania watatu wanaofanya biashara ya kuwaingiza nchini na kuwauza ndani na nje ya nchi.
   
 2. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Watanazania wanalia uchumi mbaya kumbe wamelundika majitu yanabiashara za kuhamisha pesa ya Tanzania kupitia dola na biashara za utumwa dunia ya tatu.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kumbe immigration wanaweza na wanawajua wahalifu wa uhamiaji?
   
 4. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nilishasema kuna ajira zaidi ya 300,000 ambazo zimeshikwa na wageni, ajira hizo ni za kada ya kati- graduates wa VETA, diploma na hata shahada wengeweza kuzifanya. Nilivyosikia rais anatangaza ajira mpya 1,000,000 nilijua ataanza na hizi 300,000
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Wako wengi hawa. kuna wachina, wahindi, nk
   
 6. K

  KAMBOTA Senior Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Maswali ya msingi kwa hao uhamiaji
  1.Nahodha asingewatisha wangefanya hiyo kazi?
  2.Je hao "vigogo" wanafahamiana na huyo Jandru ni kina nani?
  3.Hao vigogo wanafahamiana naye kinamna gani?
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Safi sana
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hakuna kashfa ya kifisadi isiyomuhusisha muhindi au jamii ya watu hawa.katika mambo ambayo iddi amini aliyafanya kwa akili ni kuwaondosha wahindi nchini uganda.hawa jamaa hawafai kabisa!
   
 9. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,562
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimelalamika sana juu ya hili,spidi ya wahamiaji haramu wa kihindi tena wapo maofisi raha mustarehe inatisha!

  Nilishasema wakisafishwa wahindi haramu utaona nafasi kibao za kazi!! Wanakuja kama kutembea hawarudi! Wengine kama ma expert lakini feki wanafanya kazi za kawaida!

  Uhamiaji na baadhi ya wakubwa wanajua. Work permit zitolewe upya kwa wote muone!! Mzee Nahodha fanya kazi yako uokoe wasomi wetu mtaani!!
   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Wasiishie hapo tu waende mbele zaidi wawakamate uhamiaji alioshirikiana nao vinginevyo itakuwa uonevu.
   
 11. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,562
  Trophy Points: 280
  wakuu wahindi mnaowaona mitaani asimilia 90 si watanzania na wanaishi kwa work permit za kuhonga uhamiaji! Vijana wanakosa kazi!
   
 12. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​ama kweeeli sheria zipo kwenye maandishi tu................mwisho wa siku anaachiwa huru.
   
 13. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,562
  Trophy Points: 280
  uhamiaji hawapiti maofisini kukamata wahamiaji haramu wapo mipakani na airport!! Hii ni hatari,wapite nyumba za city centre na maofisi yote!!
   
 14. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,548
  Likes Received: 1,306
  Trophy Points: 280
  Wakuu Mkienda pale Blue Pearl Hotel ubungo
  Ndio mtashangaa wapo wahindi zaidi ya 11 ambao wanafanya kazi wanalala hapohapo hotelini hawana vibali vya kuishi nchini
  achilia mbali kufanya kazi. tumepeleka taarifa mara kibao uhamiaji hakuna hatua. Ukienda pale diamond motors hivyo hivyo.

  Hawa wa blue pearl wako active usiku zaid kuliko mchana. Ukitaka info zaidi wasiliana na wafanya kazi wa pale. napendekeza kama
  kweli uhamiaji wanataka kumaliza huu uozo wa wageni wasio na sifa za kufanya kazi nchini tupo tayari kushirikiana nao kuwapatia majina, simu number zao, wanaishi wapi wanafanya kazi saa ngapi ili wawakamate.

  Mtanzania asilia.
   
 15. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wageni wamekuwa wengi mno hapa Tanzania kwa sasa mpaka inatisha, sijui usalama wetu wa nchi upoje. Wengi wao hawana vibali vya kuishi hapa nchi
   
 16. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Wahindi and other asians ni Cancer,tukubali tu kwamba ndio inaua Taifa letu,ni mpaka hapo dawa itakapopatikana.
   
 17. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,562
  Trophy Points: 280
  utoaji vibali una udhaifu mkubwa!! Wengi wana vibali lakini wanatumia data feki kuomba!! Uhamiaji wanajua na mastering wa issue hizo uhamiaji tunawajua!! Ifanyike operation ya siri muone maajabu!
   
 18. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,716
  Likes Received: 3,124
  Trophy Points: 280
  Halelluyaaaaa!! Siku njema huonekana asubuhi
   
 19. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  kaka Blue pearl ni ya Lowassa kama ilivyo Home Shopping centre ni ya Kikwete.
   
 20. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,562
  Trophy Points: 280
  wanaharibu uchumi,hawalipi kodi,wanatransfer faida kwenda nje kiujanja ujanja!! Wamejazana maofisini watz akiajiriwa ni mpika chai!! Serikali ikidhibiti wahindi haramu watasaidia vijana.
   
Loading...