Uhamiaji wamepunguza vigezo vya kupata passport au mimi sijaelewa?

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Kulikuwa na MALALAMIKO kuhusu vigezo vya kupata passport MALALAMIko mengi yalikuwa kwenye kipengele kilichokuwa kinasema.

Mwombaji anatakiwa kuwa na uthibitisho wa safari yake ili apewe passport lakini nimetembelea tovuti yao leo nimeona kigezo hicho kimetolewa.

Je, ni kweli au mimi sijaelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia screenshot hiyo
Screenshot_20200303-094213.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sisi tunaohitaji kubadili ya zamani utaratibu ukoje, au bado tutaombwa uthibitisho wa safari na makorokoro mengine...
 
Kulikuwa na MALALAMIKO kuhusu vigezo vya kupata passport MALALAMIko mengi yalikuwa kwenye kipengele kilichokuwa kinasema.

Mwombaji anatakiwa kuwa na uthibitisho wa safari yake ili apewe passport lakini nimetembelea tovuti yao leo nimeona kigezo hicho kimetolewa.

Je, ni kweli au mimi sijaelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pasipoti ni haki ya kila raia wa Tanzania bila kujali umri, mengine ni vikwazo vya mbwembwe za kiutawala.
 
Bado naona kunaurasimu Japo wanajitahidi kuondoa baadhi ya vipengele kandamizi
 
Kulikuwa na MALALAMIKO kuhusu vigezo vya kupata passport MALALAMIko mengi yalikuwa kwenye kipengele kilichokuwa kinasema.Mwombaji anatakiwa kuwa na uthibitisho wa safari yake ili apewe passport lakini nimetembelea tovuti yao leo nimeona kigezo hicho kimetolewa.Je, ni kweli au mimi sijaelewa?
Hujaelewa. Dhana ni kwamba kama huna safari ya nje unataka passport ya nini? Ujiko? Si unajua vitabu vya passport serikali ina changamoto ya kuchapisha vya kutosha! ID tu ni shida kuchapa za kutosha, sembuse passport!
 
Katika maisha, huwa kuna safari za dharula na zenye kuhitaji uharaka with high urgency. Mfano maradhi, mgonjwa anatakiwa apelekwe nchi ya nje haraka kwa matibabu.

Suala la kwamba eti kuviprint ni gharama, hoja hii haina mashiko. Passport haitolewi bure. Waombaji wanalipia fees ili nadhani kusaidia running cost ikiwa ni pamoja na printing.

Bado passport ni muhimu sana mwananchi kuwa nayo.

-Kaveli-
 
Mkuu, mwandikie hayo mawazo Waziri wa Mambo ya Ndani copy to Ikulu Attn. Dr. Magufuli, labda wewe watakuelewa!
 
Back
Top Bottom