Uhamiaji mliokwenda kufanya ukaguzi shule ya Martin Luther jijini Dodoma muda huu mmestukiwa, hamtafanikiwa ukaguzi wenu

Sie kila siku tunasema tuwatafutie walimu wetu waende nje kufundisha. Lakini wao huku kwetu iwe mwiko.

Ufanisi ni jambo muhimu sana,je hao mnaotaka wapewe kazi uwezo upo?

Kumuajiri mbongo ni gharama ndogo kuliko huyo mgeni. Kwa nini wawang'ang'anie wageni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wakenya wote waliokuja na Uchumi Supermarket na Nakumatt supermarket asilimia kubwa wapo nchini wanafanya kazi maeneo mbalimbali, je vibali vyao vya kazi bado ni valid ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom