Uhamiaji Kurasini badilikeni jamani

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,338
ofisi za uhamiaji pale kurasini. Kama huna connection hutoboi 😤😤😤..hata ukiwa na connection ukitoka pale kama hauna ugonjwa wa moyo, basi we ni shujaa.
 
bado kuna taasisis nyingi za serikali utendaji ni mbovu sana.wakati wa JPM kulikuwa na mabadiriko mkubwa, kwa sasa tunarudi kule kule.
serikali ya sasa ina kazi ya kutumia nguvu kuleta mabadiriko kuliko kutumia nguvu kwa kina Mbowe, ambao kilio chao ni kile kile cha kuleta mabadariko.
 
Back
Top Bottom