Elections 2015 Uhamiaji kuchunguza uraia wa Zitto

Muda wote huo walikuwa wapi hadi leo hii amekuwa msaliti ndo wamchunguze?
Serikali ina double standard.
 
mtikila alisema kuwa magufuli sio raia, nakuwa mama yake alikuja na mimba kutoka burundi. Mbona hili hawaliangalii.

Ukienda chato kule wazee wanakwambia huyu jamaa sio wetu kabisa na wala sio wa kabila letu na hatumpi kura.

TAFAKARI CHUKUA HATUA

aiseee!!!!!!!!!!!!!
 
kwa hivyo watanzania wote wanaoishi mipakani ni lazima wachungezwe, kwani makibila yote yaliyo mipakani wanaishi pande zote, kwa mfano Wamasai, jee Lowassa anastahili kuchunguzwa????
 
Chama cha ACT kimesikitishwa na hatua ya idara ya Uhamiaji kuhoji uraia wa Zitto. Act wamesema Zitto amekuwa mbunge kwa kipindi cha miaka 10 iweje leo ndio ahojiwe uraia wake? source Majira. Mytake: siasa za kuviziana zimerejea!

Za mwizi ni 40 unaweza kufanya yako kwa kipindi kirefu usijulikane lakini inafika siku yanabumbuluka, hata wizara ya ujenzi walikuwa wanalipa makandarasi Hewa watu hawakujua hadi mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali alivyokwenda kukagua akagundua huo wizi wa mabilioni kupitia malipo Hewa . Wizi mwingi hugundulika baadae baada ya kuwa wameiba, hata Zito huenda watu walijisahau kumchunguza awali kama walivyojusahau kwa mkulo ambaye ni Raia wa Malawi lakini aliwahi kuwa mpaka waziri wa Fedha.wapo wengi si Raia lakini siku zao za kuwakata zitafika karibuni
 
kwa hivyo watanzania wote wanaoishi mipakani ni lazima wachungezwe, kwani makibila yote yaliyo mipakani wanaishi pande zote, kwa mfano Wamasai, jee Lowassa anastahili kuchunguzwa????

Mkapa mwenyewe ni Raia wa msumbiji ndugu zake kwa 70 wanaishi msumbiji
 
Nakumbuka maneno ya Wassira ..... CCM walijua uzi mgumu unaowaunganisha Mbowe na Slaa ukatikie wapi na muda gani ...... CCM wametuweza kweli ..... kazi ipo kupanga upya upinzani ..... leo mameneja wengine wa kampeni za upinzani hata kadi hawana na tumewaamini kabisa ......ngoja tupishe hii mihemuko uchaguzi upite ndio akili zitawarudia ....
 
Interesting......Slaa anaibomoa CHADEMA Zitto anachunguzwa uraia....
CCM wanaendelea na kampeni....Lipumba ka quit....

Whoever is behind all this ni 'genius' wa mikakati...

These. Just a correction.
 
Ilisha semwa miaka mingi sana kuwa ZZK ni Mrundi... mama yake alikuwa Mtanzania... haya mambo hayana maana kwa sasa kwani amesomea hapa Bongo, amehudumu kupitia CCM via CHADEMA hapa Bongo ... Tatizo lake ni moja tu: Anatamani Warundi wajae kigoma ...
 
kigoma kwanza,zitto kwanza, majungu baadae. Uhamiaji wapo mpaka was kigoma na kagera tu. namanga,sirrari,tunduma nk, acheni ubaguzi watz
 
Nakumbuka maneno ya Wassira ..... CCM walijua uzi mgumu unaowaunganisha Mbowe na Slaa ukatikie wapi na muda gani ...... CCM wametuweza kweli ..... kazi ipo kupanga upya upinzani ..... leo mameneja wengine wa kampeni za upinzani hata kadi hawana na tumewaamini kabisa ......ngoja tupishe hii mihemuko uchaguzi upite ndio akili zitawarudia ....
Inaumiza kweli. Hii ndiyo chadema tuliyoipigania?!
 
Ukweli kuhusu uraia wa kabwe zuberi zitto ,hili jina KABWE hasili yake ni Kongo,na pia Sauda salum huyu ni mamayake mdogo kabwe. kuthibitisha hilo ni kuwa salum ni mume wa SAUDA (marehemu) baba yake kabwe anaitwa ZUBERI ambaye kwa sasa ni marehemu,Salum si babayake (kabwe zitto zuberi) hata ukichunguza hapo kwenye majina yake hakuna jina SALUM.kwani ni kawaida ya mtoto kutumia jina la baba.
ujio wa KABWE.
uchunguzi unasema babayake KABWE (bwana zuberi) alikimbia kutoka Kongo kama mkimbizi na alikimbilia Tanzania kwa mamayake mdogo na bwana KABWE ambaye pia ni mdogowake mkewe kama mkimbizi.Bwana KABWE Aliletwa Tanzania 1980,baada ya miaka miwili zuberi alikutwa na mauti.bwana kabwe alianza darasa la kwanza Kigoma Primary SchoolPrimary Education1984 mpaka alipofika kwa sasa kwa ufupi.bila kufahamika kuwa ni mkongo.

Kama ana uhalali katika uraia wake na aachwe huru.If he is a registered citizen,by birth or descent kwa nini abughudhiwe?
 
Mbona hata mbowe ni mkikuyu ila tumemchunia tu.

Oohh mara mafuliku mrundi mara zitto mkongo.Mbona hatupendani waafrika?Zitto ni kiongozi mzuri na anafaa kutumikia taifa japo ana kasoro ndogo ambazo zilimfanya atengane na wanaharakati wenzake.Kama obama tu.Tunatakiwa tuangalie kama Zitto ni Asset au Liability according to Dr Love Pimbi..
 
Hiyo kama ni kweli basi ni kali. Yaani tuna chama cha siasa kina kiongozi wake mkuu sio raia wa nchi hii? Uhamiaji wafanye uchunguzi wa ukweli lijulikane hilo mapema bila kuonea mtu.

Uhamiaji wamrudishe kwao haraka sana maana Hanna namna
 
Interesting......Slaa anaibomoa CHADEMA Zitto anachunguzwa uraia....
CCM wanaendelea na kampeni....Lipumba ka quit....

Whoever is behind all this ni 'genius' wa mikakati...

Slaa anaibomoa CHADEMA au amejibomoa Mwenyewe :?????????
Hako Ka rundi kenu ka ACT ni wakati Muafaka kakarudishwa Bunjumbura
Wa Tanzania hatuna tabia za Majivuno, Kibri Na Dharau kama hako ka Rundi
 
Itakuwa kweli huyu jamaa sio raia,maana haiwezekani ukajiona Taswira na Nuru ya chama.haya ni mambo ya Kongo na Burundi

Ni kweli mkuu Kuna kipindi alishutumiwa kwa kuwa na mawasiliano na m23. Alikiri kwa kinywa chake na kusema alikuwa akiwapa ushauri Tu. Sasa hapo onganisha doti utaelewewa Tu.
 
Ukweli kuhusu uraia wa kabwe zuberi zitto ,hili jina KABWE hasili yake ni Kongo,na pia Sauda salum huyu ni mamayake mdogo kabwe. kuthibitisha hilo ni kuwa salum ni mume wa SAUDA (marehemu) baba yake kabwe anaitwa ZUBERI ambaye kwa sasa ni marehemu,Salum si babayake (kabwe zitto zuberi) hata ukichunguza hapo kwenye majina yake hakuna jina SALUM.kwani ni kawaida ya mtoto kutumia jina la baba.
ujio wa KABWE.
uchunguzi unasema babayake KABWE (bwana zuberi) alikimbia kutoka Kongo kama mkimbizi na alikimbilia Tanzania kwa mamayake mdogo na bwana KABWE ambaye pia ni mdogowake mkewe kama mkimbizi.Bwana KABWE Aliletwa Tanzania 1980,baada ya miaka miwili zuberi alikutwa na mauti.bwana kabwe alianza darasa la kwanza Kigoma Primary School Primary Education 1984 mpaka alipofika kwa sasa kwa ufupi.bila kufahamika kuwa ni mkongo.

Duh....jamiiii forum ni zaidi ya encynclopedia brittanica!!!
 
Back
Top Bottom