mtikila alisema kuwa magufuli sio raia, nakuwa mama yake alikuja na mimba kutoka burundi. Mbona hili hawaliangalii.
Ukienda chato kule wazee wanakwambia huyu jamaa sio wetu kabisa na wala sio wa kabila letu na hatumpi kura.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Kabisa. Nilishasema hapa kuwa huyu jamaa ni mkongoman. Hata tabia zake ?????
Chama cha ACT kimesikitishwa na hatua ya idara ya Uhamiaji kuhoji uraia wa Zitto. Act wamesema Zitto amekuwa mbunge kwa kipindi cha miaka 10 iweje leo ndio ahojiwe uraia wake? source Majira. Mytake: siasa za kuviziana zimerejea!
kwa hivyo watanzania wote wanaoishi mipakani ni lazima wachungezwe, kwani makibila yote yaliyo mipakani wanaishi pande zote, kwa mfano Wamasai, jee Lowassa anastahili kuchunguzwa????
Interesting......Slaa anaibomoa CHADEMA Zitto anachunguzwa uraia....
CCM wanaendelea na kampeni....Lipumba ka quit....
Whoever is behind all this ni 'genius' wa mikakati...
Kabwe... Haya ni majina ya wacongo .
Inaumiza kweli. Hii ndiyo chadema tuliyoipigania?!Nakumbuka maneno ya Wassira ..... CCM walijua uzi mgumu unaowaunganisha Mbowe na Slaa ukatikie wapi na muda gani ...... CCM wametuweza kweli ..... kazi ipo kupanga upya upinzani ..... leo mameneja wengine wa kampeni za upinzani hata kadi hawana na tumewaamini kabisa ......ngoja tupishe hii mihemuko uchaguzi upite ndio akili zitawarudia ....
Ukweli kuhusu uraia wa kabwe zuberi zitto ,hili jina KABWE hasili yake ni Kongo,na pia Sauda salum huyu ni mamayake mdogo kabwe. kuthibitisha hilo ni kuwa salum ni mume wa SAUDA (marehemu) baba yake kabwe anaitwa ZUBERI ambaye kwa sasa ni marehemu,Salum si babayake (kabwe zitto zuberi) hata ukichunguza hapo kwenye majina yake hakuna jina SALUM.kwani ni kawaida ya mtoto kutumia jina la baba.
ujio wa KABWE.
uchunguzi unasema babayake KABWE (bwana zuberi) alikimbia kutoka Kongo kama mkimbizi na alikimbilia Tanzania kwa mamayake mdogo na bwana KABWE ambaye pia ni mdogowake mkewe kama mkimbizi.Bwana KABWE Aliletwa Tanzania 1980,baada ya miaka miwili zuberi alikutwa na mauti.bwana kabwe alianza darasa la kwanza Kigoma Primary SchoolPrimary Education1984 mpaka alipofika kwa sasa kwa ufupi.bila kufahamika kuwa ni mkongo.
Mbona hata mbowe ni mkikuyu ila tumemchunia tu.
Hiyo kama ni kweli basi ni kali. Yaani tuna chama cha siasa kina kiongozi wake mkuu sio raia wa nchi hii? Uhamiaji wafanye uchunguzi wa ukweli lijulikane hilo mapema bila kuonea mtu.
Interesting......Slaa anaibomoa CHADEMA Zitto anachunguzwa uraia....
CCM wanaendelea na kampeni....Lipumba ka quit....
Whoever is behind all this ni 'genius' wa mikakati...
Itakuwa kweli huyu jamaa sio raia,maana haiwezekani ukajiona Taswira na Nuru ya chama.haya ni mambo ya Kongo na Burundi
Ukweli kuhusu uraia wa kabwe zuberi zitto ,hili jina KABWE hasili yake ni Kongo,na pia Sauda salum huyu ni mamayake mdogo kabwe. kuthibitisha hilo ni kuwa salum ni mume wa SAUDA (marehemu) baba yake kabwe anaitwa ZUBERI ambaye kwa sasa ni marehemu,Salum si babayake (kabwe zitto zuberi) hata ukichunguza hapo kwenye majina yake hakuna jina SALUM.kwani ni kawaida ya mtoto kutumia jina la baba.
ujio wa KABWE.
uchunguzi unasema babayake KABWE (bwana zuberi) alikimbia kutoka Kongo kama mkimbizi na alikimbilia Tanzania kwa mamayake mdogo na bwana KABWE ambaye pia ni mdogowake mkewe kama mkimbizi.Bwana KABWE Aliletwa Tanzania 1980,baada ya miaka miwili zuberi alikutwa na mauti.bwana kabwe alianza darasa la kwanza Kigoma Primary School Primary Education 1984 mpaka alipofika kwa sasa kwa ufupi.bila kufahamika kuwa ni mkongo.