Elections 2015 Uhamiaji kuchunguza uraia wa Zitto

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Akizungumza kwenye moja ya mikutano ya kampeni Kigoma, mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Anna Mghwira amesema, anawashangaa Uhamiaji leo kuanza kuchunguza uraia wa Zitto wakati ameshawahi kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Habari zaidi soma gazeti la Majira la leo.
 
Hata Generali Ulimwengu alifikia u- Dc , baadae ikagundulika hakua raia !
Kwa Zzk ajabu nini?
 
Akizungumza kwenye moja ya mikutano ya kampeni Kigoma, mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Anna Mghwira amesema, anawashangaa Uhamiaji leo kuanza kuchunguza uraia wa Zitto wakati ameshawahi kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Habari zaidi soma gazeti la Majira la leo.
Kuna kiongozi mkubwa wa jeshi la Tanzania alitorokea Rwanda baada ya kugundulika si raia. Kutenda kosa kwa muda mrefu bila kugundulika hakuhalalishi kosa.
 
Nini Ulimwengu aliyekuwa Dc mbona hata hayati Austin Kapele Shaba ambaye alipata kuwa waziri wa wizara mbali mbali hivyo si ajabu kwa mh Zito bali tuache serikali ifanye kazi yake
 
Hiyo kama ni kweli basi ni kali. Yaani tuna chama cha siasa kina kiongozi wake mkuu sio raia wa nchi hii? Uhamiaji wafanye uchunguzi wa ukweli lijulikane hilo mapema bila kuonea mtu.
 
Mamluki hata siku moja hawana uzalendo..
Ndio maana huyu kijana nimsaliti mchochezii..Idara ya huamiaji fanyeni kazi yenu kisha afikishwe ardhi ya no mansLand..
 
Hiyo kama ni kweli basi ni kali. Yaani tuna chama cha siasa kina kiongozi wake mkuu sio raia wa nchi hii? Uhamiaji wafanye uchunguzi wa ukweli lijulikane hilo mapema bila kuonea mtu.
Kiongozi mkuu wa chama Mrundi hii hatari, mfano angegombea urais na kushinda tungekuwa na rais mwenye uraia wa utata, Mungu apishie mbali.
 
Acheni talalila zenu. Kuchunguzwa siyo tatizo. Hilo huwatokea wengi tu ni tuhuma toka kwa watu hivyo serikali inachnguza.
 
zitto alishawahi kusema'tulifundishwa na mababu zetu kuwa kigoma ilikuwa huru kama ilivo rwanda na burundi tumaamini ivo1923.pia tutajikomboa maana tumetengwa na maendeleo na huduma bora za jamii'.nukuu answeared ya bunge
 
Akizungumza kwenye moja ya mikutano ya kampeni Kigoma, mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Anna Mghwira amesema, anawashangaa Uhamiaji leo kuanza kuchunguza uraia wa Zitto wakati ameshawahi kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Habari zaidi soma gazeti la Majira la leo.

Huyu mama namshauri atulie vyombo vya dola vifanye kazi yake hakuna aliye juu ya sheria hata kama alikuwa nani. Halafu uhamiaji wakimaliza, nashauri TAKUKURU wakague akaunti ya chama na vyanzo vya hizo fedha.
 
zzk jamaa anaelement za kuwagawa watanzania rejea kauli zake wakati ananadi chama chake na azimio la tabora akiwa tabora.pia akiwa tanga anawashawi kuhusu mashamba ya mkonge.
 
Back
Top Bottom