comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Wana jamvi
Hayo maeneo yamekua ndio kificho cha raia wa nje hasa raia kutoka India, China na Kenya wasio na vibali vya kufanyia kazi nchini wanafanya kazi ambazo kimsimgi zilitakiwa zifanywe na watanzania, mfano katika mahoteli ya kitalii wapishi ni kutoka India na Kenya, na kulipwa mshahara mkubwa tu huku Watanzania wakiambulia kazi za usafi wa bustani na Ulinzi wa mageti, huku baadhi ya maafisa uhamiaji wakikaa kimya