Uhalisia wa taifa la Israeli

Hapo sawa. Ila umeongeza maneno"Akiongozwa na roho mtakatifu". Umewezaje mkuu kujua kuwa aliyasema hayo Akiongozwa na roho mtakatifu?.
Samahani lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu wakati anakaribia kupaa aliwaambia wanafunzi wake waende yerusalemu mpaka watakapopata ile ahadi ya baba yaani uwezo tokea juu (roho mtakatifu),Luka 24:49,then baada ya hapo ndio wataanza kuihubiri injili duniani kote, sasa ikafika ile siku ya pentekoste wanafunzi wake Yesu woote wakajazwa na roho mtakatifu kwa kunena kwa lugha mpya (matendo ya mitume 2:1-47) then wakaanza kuihubiri injili kwa uelewa mkubwa,na mafunuo mengi ambayo kipindi cha Yesu walikuwa hawamuelewi na baada ya kupata roho mtakatifu wakaanza kuelewa na kufunuliwa maandiko.
Nikirudi kwenye swali lako sasa ni hivi vitabu vyao vyoote vya hawa mitume viliandikwa kwa kuongozwa na Roho mtakatifu na sio kwa akili zao wenyewe na ndiomaana tunavitumia na kuviamini tukiamini viliandikwa na Mungu kupitia wao.
Imeandikwa maandiko yoote katika biblia yaliandikwa kwaajili ya sisi kusoma na kuelewa, Warumi 15:4
 
Mmmmmh! Paul aliwahi kuwa mtume wa Yesu?. Ebu fafanua hapo kidogo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hichi kitabu cha the Thirteenth Tribe kina toa perspective fulani kwenye hii issue.

Hata hao wa palestina sio wazawa wa hapo. Wazawa wa hapo ni Wa Caanan. Wa Caanan walikuwa watoto wa Ham.

Waarabu ni watoto wa Shem.

Palestina ni kigiriki, ikimaanisha wafilisti. Wafilisti wa zamani walikua watoto wa Ham kupitia Misraim. Ham alikuwa mweusi.

Waisraeli walio watoa Wa Caanan zamani zile ni tofauti na Waisraeli wa leo.

Waisraeli wa zamani walikuwa watoto wa Shem. Waisraeli wazamani hawa kuwa watu weusi.

Rangi yao ya ngozi ilikuwa ina range from brown to white. Wengi wao wakipigwa na jua kwa muda mrefu, ngozi yao ilikuwa ina badilika na kuwa dark brown.

Rangi ya ngozi ya Mfalme Daudi ilikuwa light brown.

Rangi ya ngozi ya Adam ilikuwa reddish-brown (kama mfinyanzi wa reddish-brown).
 
alikuwa mtume ndio wa yesu ila sio miongoni mwa wale 12,yeye alikuja baadaye,kwani mitume walikuwa wale wale 12 tu?! waliongezeka zaidi si hata leo kuna mitume wa Yesu kwani hakuna?
Lakini Paul mwenyewe anasema:

15 Ndugu zangu, nanena kwa jinsi ya kibinadamu. Lijapokuwa ni agano la mwanadamu, hata hivyo likiisha kuthibitika, hakuna mtu alibatilishaye, wala kuliongeza neno.
Wagalatia 3:15

Mkuu! Paul hakuwahi kunena kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Paul mwenyewe anasema:

15 Ndugu zangu, nanena kwa jinsi ya kibinadamu. Lijapokuwa ni agano la mwanadamu, hata hivyo likiisha kuthibitika, hakuna mtu alibatilishaye, wala kuliongeza neno.
Wagalatia 3:15

Mkuu! Paul hakuwahi kunena kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo kwenye biblia kuna maneno ya kufuata na ambayo sio?,paulo alijazwa roho mtakatifu (matendo 13:9) maneno yake yoote yanafaa kwa mafundisho ndio maana yakawepo kwenye biblia,wakati mwingine jaribu kusoma na biblia za kiingereza hasa KJV kuweza kupata maana sahihi hizi za kiswahili wakatimwingine tafsiri inakuwa na maana tofauti,maandiko yoote ndni ya biblia yanafaa kwa mafundisho pasipo kubagua,kitabu cha ufunuo mwishoni kimesema usiongeze wala usipunguze unabii wa kitabu hiki (biblia)
 
usiongeze wala usipunguze unabii wa kitabu hiki (biblia)

Mkuu hilo neno kwenye mabano tayari umeongeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana yake ni hv,Mungu aliingia kwenye nyumba ya Daudi Kama ilivyotabiriwa akamchagua mwanamke aliyekuwa Bikira akatengeneza mwili kwa uweza wa Roho mtakatifu halafu then akaingia ndani ya huo mwili so huyo bikira Mariam alipojifungua yule mtoto Yesu,tayari Mungu alikuwa ndani yake, I mean ndani ya huyo mtoto Yesu.
Kwa Lugha nyingine Mungu alijificha katika huo mwili, na ndiomaana Yesu alirithi tabia,kazi,jina la baba yake ambaye no Mungu,
>Hukusoma sehemu Yesu anafanya miujiza halafu anasema aliyendani yake ndio kafanya? Ndiomaana hakuwa anajipa sifa yeye Bali Mungu aliyendani yake,ule ulikuwa ni mwili tu au chombo ambacho Mungu alikitumia kuwafundisha wanadamu namna ya kuishi ila mwana wa Adam hakuwa Mungu Bali Mungu alikaa ndani yake
>Kwani wewe Leo hii ukijidhihirisha/UKIVAA suti(vazi) inayoitwa "GUCCI"
Hilo vazi linakuwa wewe?,vazi linakuwa Kama kikaragosi tu wewe ndio uko ndani yake ukinyanyua mkono nalo linanyanyua mkono,ukikimbia nalo linakimbia,vazi linatenda kile kilichokuwa ndani yake,ndio hivyo ilivyokuwa kwa Yesu kristo Mungu aliumba mtu halafu akaingia ndani yake,Yule mtu akawa anaitwa Yesu kristo/mwalimu,kuhani,mtume,nabii,masihi nk lakini sio Mungu ila Mungu alijidhihirisha katika yeye Kama vile wewe unavyoweza kujidhihirisha kwenye mavazi mbali mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa Mnaleta Story za Kijinga sana... Hivi unajua aliyeandika hayo maneno hadi unajinasibisha as if ulikuwepo... Huyo muandishi angeandika full story ambazo zilifutwa nadhani ungekana na kusema huyo muandishi alikuwa kavuta bangi... Story za Yesu alizoandika Barnaba ni kuwa Yesu alioa na Muujiza wa kwanza alifanya kwenye harusi yake alimuoa Mariam yule Muuza uchi... Wanafunzi wake walikuwa wanamchukia sana huyo Malaya but Yesu alikuwa akiwatoa Nishai kwa kuwaambia Hawamjali kama anavyojaaliwa na Mariam na alizaa nae watoto. Issue za kuandika au kuleta udhanio ati Mungu aliingia ndani ya Mwili wa Yesu lazima utakuwa una akili z Kipumbavu... Enzi za Nuhu Story inasema Mungu hakupenda kabisa watoto wake wa Kweli kuzaa na Binadamu na akasema “Roho yangu haitakaa ndani ya binadamu milele.. So Even yeye hawezi kuishi ndani ya mwili wa Binadamu kwani kuna kifo...Mwanzo 6:1 na kuendelea kasome Next time jipange sana na sio kuchukua maneno na kujiwekea ushabiki wa utetezi au kupotosha raia

Jesus 'married Mary Magdalene and had children', according to ancient manuscript

A new book claims the Jesus fathered two children and married
Jesus married the prostitute Mary Magdalene and had children, according to a manuscript almost 1,500 years old unearthed at the British Library.

The so-called “Lost Gospel”, which has been translated from Aramaic, allegedly reveals the startling new allegations, according to The Sunday Times.

Professor Barrie Wilson and writer Simcha Jacobovic spent months translating the text, which they claim states Jesus had two children and the original Virgin Mary was Jesus’s wife and not his mother.

Many experts have downplayed the biblical figure’s historical importance but, according to the translators of the new gospel, she is of much greater significance than previously thought.
Mary Magdalene already features in the existing gospels and is present at many of the important moments recorded in Jesus’s life.

“The Lost Gospel” is not the first to claim that Jesus married Mary Magdalene.

Both Nikos Kazantzakis in his 1953 book “The Last Temptation of Christ” and, more recently, Dan Brown in “The Da Vinci Code” made the same allegation.

Further revelations from the book, including the names of Jesus's children, will be released on Wednesday.

The publisher, Pegasus, has confirmed the press conference will go ahead as planned.
 
MITHALI 26:4
 
Naona watu mnapenda kutumia huu mstari hamauelewi.
Kweli ni nini?? Ni neno la Mungu Yoh 17:17 na kuwaweka huru ni kutoka vifungo vya shetani aliyeudanganya ulimwengu mzima Ufu 18:2, 12:9.

Msiongee mistari msiyooelewa
Sijui umekosoa nini hapo!. Maana ukweli ni msingi wa Mwenyezi Mungu na uongo ni msingi wa shetani.
Ni uelewa hupi unaoutaka zaidi ya huu?.
 
Nachokosoa ni kupotosha kuwa ukweli unakuweka huru haina maana ya huu uongo na ukweli wa kimwili bali ukweli (Neno la Mungu) linakuweka huru (kutoka vifungo vya dhambi) sasa ni kifungo gani cha dhambi ambacho mtoa mada anacho ili sasa wwe umpe hilo Neno la Mungu la kumuokoa??

Sioni uhusiano wa huu mstari na jinsi ulivyotumika kumkosoa mtoa mada.... Upo kiroho zaidi.
 
Maneno hayo niliyaweka baada ya majadiliano kadhaa baina yangu na mtoa mada.Labda ungerudi kwanza kwenye majadiliano hayo ktk uzi huu huu.
 
Nlifuatilia sana sasa yeye alikuwa anakupa vifungu vya Neno la Mungu(Kweli) huku na wewe unajibu kwa vifungu vya maneno ya Mungu(Kweli) sasa hapo ulitaka aijue kweli ipi tena..... Bora ungesema asipotoshe kweli sio kudai eti aongee kweli awe huru haileti maana.

Hapo tu ndio nilitaka kupaweka sawa ila maoni yako naheshimu.
 
Mengine umeandika vizuri lakini kusema kwamba waMisri ni weusi nimeshindwa kukuelewa. Unaweza kuwa na point lkn ukiandika kiushabiki na umbumbumbu taarifa inakosa maana na hatima yake ni kukataliwa. Unataka niwaonee huruma wapalestina!!! nitafaidika nini? si heri niwatambue wayahudi hata kama sio sahihi maana angalau kuna maendeleo naweza faidika kuliko kuhubiri ugaidi wakati wote.
Kunawakati unaweza kujiona wewe una akili Sana kuliko wenzako kumbe wewe mwenyewe ni upepo mtupu kichwani ...

Makala ipo wazi kabisa juu ya uyahudi wa hao wazungu, kwa maslahi yao wana wafanyia unyonge wapalestina kwa mauaji ya kikatili na kufitinisha jirani zao kwa Vita za mfululizo ...

Haya unaseama mpalestina atakusaidia nini anahubiri ugaidi, Sasa Kati ya huyo mpalestina anae uhubiri ugaidi na huyo myahudi mzungu Nani gaidi halisi anaepaswa kupigwa Vita ???

Mtu kama wewe lazima hapo mbele ya gari yako Kuna bendera ya Israel na kanisani umeenda kuomba Eti Mungu akupe amani then ukitoka unambeba begani kwa furaha na majigambo mtu anaewanyima amani binadam wenzako

Bogus kabisa!!!
 
Mada nzuri kweli kweli, ila kulingana na hali ya watanzania kwa sasa wanawaza mkate badala ya kutumia muda mwingi kusoma uzi mrefu namna hii wengi watapinga tu pasipo kusoma chochote.
 
Back
Top Bottom