uhalisia wa picha kilichokuwa kinaendelea leo bungeni

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
519
105
haya indigo 399526_446819695352469_486544875_n.jpg yanayoendelea katika bajeti muhimu ya elimu
 
Utani wa kisiasa,pia una jukwaa lake?Ujue pia kuwa picture na maneno ni sehemu ya speech.Ningeandika maneno nikishangaa wabunge ungepda ibaki.

Kumbe wewe ndiye mleta hii mada. Ahsante kwa kutujuza.
 
Maneno kama hayo tayari tunayasikia bungeni mwetu mfano Mh. Mbilinyi n.k
Ila kwa utaratibu unavyoendelea hata na hiyo miguu itafikia huko..
 
huyo ni Kapteni Komba anaunga mkono hoja huku jimbo lake halina chuo cha ufundi hata kimoja
 
Kumbe wewe ndiye mleta hii mada. Ahsante kwa kutujuza.

Mnakimbizana na kivuli..nilidhani una fujo km mnyama mwaribifu tuu..kumbe una shida ya kufiki km wanayama mazezeta.

Kwanini niandike mara mbili?hata nikiwa na Ban huwa sioni haja na kufungua ingine.Huwa nasepa zangu.Siku nikikumbuka na kujaribu km ban hakuna natumia.Km vipi sijawa addict kihivyo.Rudia too flow ya posting utajua nilikuwa nasema nini.
 
Naona wewe ni wa shule zile zile za Father Kit Cunningham.
 
ok..unaonaje nikikupotezea,ili tusijaze thread uchafu...?Hembu basi ukijibu kitu kiwe kinahusiana na thread one way or another.SIjachangia ili kukusaidia kimbia maswali.
 
Naona ujumbe umekufikia vyema sana na inabidi usiwe na jibu.

Jee, unamjuwa Mshume Kiyate?
 
Back
Top Bottom