kuna jukwaa la utani.
Unatani wa kisiasa,pia una jukwaa lake?Ujue pia kuwa picture na maneno ni sehemu ya speech.Ningeandika maneno nikishangaa wabunge ungepda ibaki.
Sasa hiyo picha iko wapi?
Utani wa kisiasa,pia una jukwaa lake?Ujue pia kuwa picture na maneno ni sehemu ya speech.Ningeandika maneno nikishangaa wabunge ungepda ibaki.
Kumbe wewe ndiye mleta hii mada. Ahsante kwa kutujuza.
Mnakimbizana na kivuli..nilidhani una fujo km mnyama mwaribifu tuu..kumbe una shida ya kufiki km wanayama mazezeta.
Kwanini niandike mara mbili?hata nikiwa na Ban huwa sioni haja na kufungua ingine.Huwa nasepa zangu.Siku nikikumbuka na kujaribu km ban hakuna natumia.Km vipi sijawa addict kihivyo.Rudia too flow ya posting utajua nilikuwa nasema nini.
Naona wewe ni wa shule zile zile za Father Kit Cunningham.
ok..unaonaje nikikupotezea,ili tusijaze thread uchafu...?Hembu basi ukijibu kitu kiwe kinahusiana na thread one way or another.SIjachangia ili kukusaidia kimbia maswali.