prumpeti
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 1,021
- 2,279
Huwa najiuliza sana hizi filamu zinazotengezwa kuonesha matukio tatakayo tokea miaka ya baadae ni hadithi tu za kufikirika au ni vitu ambavyo wanavijua vitakuja tokea?
Ukiangalia pichaa hii ipo ndani ya filamu inayoitwa Maze Runner Death Cure ilitoka mwaka 2018 watu wanaonekana wakitembea mitaani wakiwa wamefunika pua na mdomo kwa mask ili kujilinda na virus ambao kwenye filamu hii walikuwa wanaitwa FLARE VIRUS.
mwaka 2019 kirusi cha Corona kiligunduliwa huko China ambapo karibia maeneo yote Duniani watu walionekana wakiwa wamefunika pua kwa mask...