Uhalisi wa malipo kwa mshindi wa 96million ,Premier Betting.

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Ivi haya mambo yanatokea hapa hapa bongo ama ?
Habari
Ni kweli mkeka huu umeshinda,Je Premier Bet kama kampuni wamefanikiwa kukamilisha malipo ya mshindi huyo ?
Mshindi huyo yupo !
Kama yote yametendeka basi michezo ya kubahatisha inapataa pesa nyingi mno ?
 
Attachments

  • Screenshot_2019-01-08-11-54-47.png
    Screenshot_2019-01-08-11-54-47.png
    56.7 KB · Views: 53
  • IMG-20190108-WA0007.jpg
    IMG-20190108-WA0007.jpg
    52.2 KB · Views: 94
Ivi haya mambo yanatokea hapa hapa bongo ama ?
Habari
Ni kweli mkeka huu umeshinda,Je Premier Bet kama kampuni wamefanikiwa kukamilisha malipo ya mshindi huyo ?
Mshindi huyo yupo !
Kama yote yametendeka basi michezo ya kubahatisha inapataa pesa nyingi mno ?
Mkuu kulipwa atalipwa, mimi namfahamu jamaa alishinda 20m na alilipwa ndani ya masaa 48
 
Hapo tunatumia kikokoteo cha zamani,atalipwa 25% then atamaliziwa 75% pole pole.
 
Back
Top Bottom