Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
^^ cheki bandiko la Darwin hapo juu..
Ni nini tofauti ya Mwanamke na Mwanume wenye kufanya biashara ya kujiuza...!?
Je Taifa la Tanzania si moja ya mataifa yenye kupigania Haki sawa kwa wote? Vipi Leo kuwatenganisha ndugu hawa pacha wenye kufanya biashara ya kujiuza?
"unamcheki yule Kibunango? dada yake anauza {-_-} na yule shangazi yake kafungua lake jirani....." ndio maneno ya watu yatakavyokuwa....Kama wanaweza ni juu yao...
Ukahaba ni biashara ya wanawake kuuza miili yao, kwa wanaume. Wakati ushoga ni wapenzi wa njisia moja, wanaweza kuwa ni wanawake kwa wanawake au wanaume kwa wanaume.. Hawa bado kuingizwa kwenye ukahaba.
Hakuna kupindisha mada...! Ushoga na Ukahaba ni vitu pacha. Penye Ukahaba na Ushoga Haukosekani.
Wakipewa Green light Makahaba na Ukahaba wa jinsia moja pia Utataka kupewa Green light.
Kwani kuna tofauti gani kati ya vitendo hivi viwili?
Ukahaba na Ushoga vyote ni Prostitution...! Vitendo vyote hivyo vinaingia kwenye kundi la UASHERATI.
Ukihalalisha kimoja na Kingine kitadai haki Kwani kama nilivyosema hapo kabla Hawa ni ndugu pacha. Huwezi watenganisha.
Huyu DIWANI yupo tayari kum-trade mama yake Mzazi ktk Danguro?...Kwa mnaotetea Hii biashara...MNA AKILI TIMAM?....Kama biashara kawaambieni mama zenu wazazi waanze kuuza....!!!!....
Najua hilo Haliwezekani....Vip Biashara ya Gongo?...Ihalalishwe?
....Vp Biashara ya Madawa ya Kulevya...Ihalishwe?
. ....Vp biashara ya Bangi.....Ihalalishwe?
...Vp tuwaruhusu watu watembee UCHI kama walivyozaliwa....?
...Watu wauze Magazeti ya Ngono...Ihalishwe?
.....TV station zioneshe Ngono....Ihalalishwe...?
.....Ushoga.....Uhalishwe...?
Wana JF tusiwe wachache wa akili...Mwanadam anatofauti kubwa na Wanyama...!!! Wanyama wana macho...wana masikio...Nyoyo...lkn vyote hivyo haviwasaidiii...
Diwani kashindwa kufikiria namna ingine ya kuwaongezea kipato wananchi wake...Huyu Diwani Bwege...na Unaujauzito wa Mawazo!!!...

..
Huna haja ya kuja na makelele mengi huku ukishindwa kutoa hoja inayoeleweka...Huyu DIWANI yupo tayari kum-trade mama yake Mzazi ktk Danguro?...Kwa mnaotetea Hii biashara...MNA AKILI TIMAM?....Kama biashara kawaambieni mama zenu wazazi waanze kuuza....!!!!....
Wana JF tusiwe wachache wa akili...Mwanadam anatofauti kubwa na Wanyama...!!! Wanyama wana macho...wana masikio...Nyoyo...lkn vyote hivyo haviwasaidiii...
Diwani kashindwa kufikiria namna ingine ya kuwaongezea kipato wananchi wake...Huyu Diwani Bwege...na Unaujauzito wa Mawazo!!!...
Huyu DIWANI yupo tayari kum-trade mama yake Mzazi ktk Danguro?...Kwa mnaotetea Hii biashara...MNA AKILI TIMAM?....Kama biashara kawaambieni mama zenu wazazi waanze kuuza....!!!!....
Najua hilo Haliwezekani....Vip Biashara ya Gongo?...Ihalalishwe?
....Vp Biashara ya Madawa ya Kulevya...Ihalishwe?
. ....Vp biashara ya Bangi.....Ihalalishwe?
...Vp tuwaruhusu watu watembee UCHI kama walivyozaliwa....?
...Watu wauze Magazeti ya Ngono...Ihalishwe?
.....TV station zioneshe Ngono....Ihalalishwe...?
.....Ushoga.....Uhalishwe...?
Wana JF tusiwe wachache wa akili...Mwanadam anatofauti kubwa na Wanyama...!!! Wanyama wana macho...wana masikio...Nyoyo...lkn vyote hivyo haviwasaidiii...
Diwani kashindwa kufikiria namna ingine ya kuwaongezea kipato wananchi wake...Huyu Diwani Bwege...na Unaujauzito wa Mawazo!!!...
Zamani pale karibu na Dar Tech kulikuwa na vibanda vya Wahaya, wanafunzi tulikuwa tunaenda kupata huduma hapo ya bei rahisi.
Ni ngumu kuua biashara ambayo ina wateja wengi.