Uhalali wa Malipo ya mita za Umeme kila Mwezi

dav22

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
1,887
308
Hivi kwann tanesco wanatoza haya malipo ya kila mwezi kulipia mita wakati ukiwa unafunga umeme unailipia tena gharama kubwa tu zaidi ya laki nne??
 
Wizi mtupu! Ndo mana me nimeamua kutumia solar tu.
 
Micjawah kuelewa hawa wanao jiita wa tetez wawa nyonge wanateteaga nn haya ndo.mambo yakupgania Jaman ah
 
Hata mimi nashangaa watu wanakaa bungeni na kuanza kuibua tuhuma mfilisi. BUNGENI!
Watanzania wanatahabika na hali duni ya maisha na bado wanaongezewe mizigo kila kukicha, halafu mtu analeta utani.
 
Bunge nadhani siku hizi limekaa kimaslahi ya watu fulani hivi aisee
 
Back
Top Bottom